Recent content by DJPEREZ SHOW

  1. DJPEREZ SHOW

    Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Nashkuru mkuu ishi miaka mingi aisee
  2. DJPEREZ SHOW

    Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Sawa mkuu auna mtu unaejuana nae kule
  3. DJPEREZ SHOW

    Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Nna uzoefu kwenye wheel loader mkuu
  4. DJPEREZ SHOW

    Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Nashkuru mkuu ntalifanyia kazi
  5. DJPEREZ SHOW

    Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator bado jaman anaeweza naomba msaada nipate mtu wa kushinda nae kwenye excavator npate ujuz wa kazi au...
  6. DJPEREZ SHOW

    Tufanyeje tuweze kuirejesha Tanganyika?

    habari yako kiongozi samahan mi toka nmetoka chuo nmesomea excavator sjapata ata pakujishkiza kaka kama una hints zozote labda unaeza nsaidia
  7. DJPEREZ SHOW

    Mimi ni operator wa excavator, natafuta nafasi ya kujitolea

    Ivi mbna watu ni kama hawajali ivi
  8. DJPEREZ SHOW

    Mimi ni operator wa excavator, natafuta nafasi ya kujitolea

    Samahan sana wana JamiiForums, Naombeni msaada kwa yeyote atae guswa m ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nmetoka chuo mwez wa tatu 2022 nmezunguka sana kutafta nafasi ata ya kujitolea nakosa jaman naombeni sana msaada wenu nipo mgololo mufindi iringa nna vyeti na leseni pia ata kwa waliopo...
  9. DJPEREZ SHOW

    Job seeker

    Kwan upo mkoa gan
  10. DJPEREZ SHOW

    Job seeker

    Nlienda somea excaveta tuu kama kujiongeza mingne labda mtaani
Back
Top Bottom