On the other side unagundua wanawake ni viumbe wa ajabu sana, yaani platinumz anavyowanyoba na kuwaweka mitandaoni ndio wanazidi kuja kwake kwa kasi ya ajabu, kweli huu uumbaji huu dah! Ila all in all dogo anakula mbunye kali sanaa! Subirini muone akimalizana na uganda tu, ngozi mpya itakwea faster!