Recent content by djcastlelite

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tunu za taifa uwazi na uwajibikaji

    Hivi ni kweli chama tawala kimependekeza kuonda kwenye rasimu tunu za taifa, ambazo ni uwazi na uwajibikaji?na bado wanajigamba wanamuehezi mwl nyerere? Hivi ni kwanini viongozi wa chama cha mapinduzi wanatudharau sana wananchi wake kiasi cha kutuona atuna akili?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Hiv ukiwa mwana ccm akili zinapotea? Mm na fikiri ni mshiko ndio tatizo, rushwa ni adui wa haki
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni watu sio vitu

    Mwalimu alisema nchi yeyote ili ionekane imeendelea inatakiwa maendeleo yake yalenge zaidi watu kuliko vitu, sasa tanzania inakua kiuchumi lkn watu wake wanazidi kuwa masiki je?ndio kumeenzi mwalimu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa CHADEMA kuwasamehe Zitto na Dr. Kitila Mkumbo

    Kwani chademe ikifa ikibaki ccm inakuuma nini? kama raha yako ni chadema kufa wacha ife alafu ufanye sherehe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Mlisema mnaenda msituni bado mjaende? Tunawasubiri kwa hamu tuwashikishe adabu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mitambo itv yakatwa nikijiandaa kumsikiliza warioba kipindi dk. 45

    Wana mikakati mibovu maccm
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

    Chadema ni mpango wa mungu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

    Lema kiboko ya mccm
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli sera ya chama inaweza kuwa dira ya nchi?

    Ndugu wana jamii akuna nchi yeyote duniani inaweka dira ya chama kuwa ya nchi na ikafanikiwa, nijuwavyo huwa nchi inaongozwa na dira ya taifa na nchi nyingi zenye dira ya taifa zimefanikiwa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watu wa aina ya akina Bulembo ni janga kwa CCM

    Wacha watukane alafu mwishowe tutaona nani mshindi kati ya matusi au rasimu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri ktk Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Sheree za kutimiza miaka 50 mwaka huu zimefanyika huku kukiwa na manunguniko mengi sana kuwa ni aina gani ya muungano tuutakao, japo wananchi wengi wa tanzania wameonyesha nia ya kuendelea na muungano lkn wameonyesha nia ya kutaka mabadiliko na kutaka aina mpya ya muungano, kutona na sababu hizo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serekali 3 ni mpango wa mungu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Vipi wana jamii katiba imepatikana?

    Wana jamii wenzangu tuliahidiwa kuwa katiba itapatikana baada ya siku sabini vipi mbona siku sabini zimepita katiba ayajapatikana?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuwaingiza rasmi CUF na NCCR Serikali Kivuli Bungeni

    Kwa kweli watu wengi wanaunga mkono
  15. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini walioko bungeni mbona matusi yanaongezeka?

    Napenda kuwauliza viongozi wa dini waliko dodoma mbona matusi yamezidi? Wakati ukawa awapo bungeni
Back
Top Bottom