Recent content by Dj_pacha the baddest

  1. Dj_pacha the baddest

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu naomba kama kuna mtu mwenye hizo nyinmbo anisaidie kupandisha hapa: 1. Asuuu wangu- (msanii simjui) 2.Mc Trick wa Kenya (comedian) kuna nyimbo huwa anaingia nayo kwenye show kama ragga flani hiv 3. One way- lucian Bokilo 4. Buzi langu- Serengeti Band Natanguliza Shukrani 🙏 🙏
  2. Dj_pacha the baddest

    Infinix Hot 11 Play haingizi charge kabisa

    sawa nitarudi na mrejesho hapa hapa
  3. Dj_pacha the baddest

    Infinix Hot 11 Play haingizi charge kabisa

    sawa nitarudi na mrejesho hapa hapa
  4. Dj_pacha the baddest

    Infinix Hot 11 Play haingizi charge kabisa

    Habari wanazengo? Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu ilikuwa na asilimia 100% na ilipokuwa inapungua nikawa natumia charge ya infinix lakini tofauti na...
  5. Dj_pacha the baddest

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Daaah! hii kitu sitakaa niisahau aisee kuna siku nilikuwa na kapisi flan hiv chuoni kipindi hicho sasa kalikuwa kananipenda kweli wazee, kuna siku akaniambia niende geto kwake nikasema fresh kummbe ni trap nawekewa lakini akili ikadetect kitu nikasema ngoja niache smart niende na kinokia torch...
  6. Dj_pacha the baddest

    Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Kwa hiyo unataka kusema mimi naweza kukutungia nyimbo ya maombolezo ya kifo chako halaf nikae nao mpaka utakapokufa ndo niutoe?🤔🤔
  7. Dj_pacha the baddest

    TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

    Duuh! mwamba apumzike kwa amani 🙏🙏 na pole kwa mabahari wote
  8. Dj_pacha the baddest

    TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

    Duuh! huyu baharia ndo msiba wake ulikuwa maeneo ya kichangachui mtaa wa kwa malewa??? :(:(:oops::oops:
  9. Dj_pacha the baddest

    Watanzania acheni roho mbaya kuhusu Zuchu na mziki wake, embu mwambieni ukweli

    Mkuu unamuongelea Zuchu yupi? huyu aliyeimba mafuta ya taa yamemwagika, mara chapati sijui imefanyaje, sijui anamkatikia nani viuno yaan vitu havieleweki😇😇😇
  10. Dj_pacha the baddest

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    Usilinganishe kizazi cha amapiano tena mliocopy and paste pale south africa na kizazi cha bongo fleva ya kina Mr.Ebbo
  11. Dj_pacha the baddest

    Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    Kwa mimi nilivyowaza na akili zangu za jioni kwa huyu binti kuna vitu viwili Mosi, huyu binti anafanya anacho kipenda (check body language yupo confortable means hajalazimishwa) Pili, inawaeza ikawa kweli anahusika direct or indirect kwenye umiliki na usimamizi wa hizo Tilisho Bus(mchaga ni kama...
  12. Dj_pacha the baddest

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    kesi ya kuua sio kesi ya kuiba kuku au kumtukana mtu kaka watu wamekaa chini wakaaumiza vichwa na mahakama ipo kusikiliza pande zote ndo maana hata ukienda polisi mtuhumiwa mwenye akili anakwambia maelezo yangu nitayatoa mahakamani 🤔 🤔
  13. Dj_pacha the baddest

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    wewe uhakika unajulia wap au ulikaa ukawahoji, ulikuwepo kwenye tukio? sometimes muwe mna reason vitu vya maana bas msikurupuke na 🤔🤔 nenda kasomee maana ya rufaa halaf uje
  14. Dj_pacha the baddest

    Dar: Mfanyabiashara matatani kwa Kumhonga Polisi Tsh. Milioni 10

    hii code mbona ipo wazi kabisa Mkuu🤔🤔🤔
Back
Top Bottom