Recent content by DJ Baraka

  1. D

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba aanza kutapatapa-soma maelezo yake baada ya kuhojiwa....

    anaanza kumwaga ugali baada ya CAG kumwaga mbonga. watatajana mpaka mwisho. mwanzo alijitapa kwa kubuni mradi wa upimaji viwanja chini ya UTT baada ya CAG kubaini madudu anadai hakushiriki. mtu mzima hovyo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba atembeza kichapo kwa mwandishi

    unaikumbuka hii?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba aanza kutapatapa-soma maelezo yake baada ya kuhojiwa....

    HATIMAYE Meya wa Bukoba, Dk. Anatory Amani (CCM) (pichani) ameamua kufunguka na kuweka wazi ufisadi unaofanyika ndani ya Halmashauri ya Bukoba. Mbali ya ufisadi huo, ameainisha udhaifu na upendeleo wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), alioufanya wakati wa ukaguzi ndani ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe aacha mpasuko CHADEMA Bukoba kwa kumuunga mkono Kagasheki

    kwa hiyo?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe aacha mpasuko CHADEMA Bukoba kwa kumuunga mkono Kagasheki

    hii ndiyo kauli ya mjumbe wa CDM wilaya siyo? ngoja nikusaidie wewe. kikao kinafanyika high way rwamishenye kwenye stand ya tax kwa mzee kabigumila. na hivi sasa natoka hapo wahudumu wanapanga viti. kama huna taarifa nakupatia sasa. pole sana lakini si kosa lako.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe aacha mpasuko CHADEMA Bukoba kwa kumuunga mkono Kagasheki

    Safi sana.Kwa hiyo CDM sasa iko na kagasheki siyo?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe aacha mpasuko CHADEMA Bukoba kwa kumuunga mkono Kagasheki

    Siasa za tanzania ni kama movie vile. Cdm bukoba mjini wakiwa katika harakati za kuchukua jimbo hilo kutoka mikononi mwa Kagasheki CCM baada ya wao kugawanyika baada ya kumtema meya wao kwa ufisadi,sasa mbowe naye amewakoroga viongozi wa CDM mjini bukoba na kulazimisha wahitishe kikao cha...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: Nitagombea tena 2015, hakuna wa kunitoa Bukoba mjini!

    ushaidi kaka?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: Nitagombea tena 2015, hakuna wa kunitoa Bukoba mjini!

    lete ushaidi vinginevyo kaa kimya.siasa za bukoba waachie wana bukoba wenyewe. mbunge safi hapatikani msikitini au kanisani ndugu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: Nitagombea tena 2015, hakuna wa kunitoa Bukoba mjini!

    lete picha kamanda.Kagasheki ni kiboko ya majangili na sasa amekuwa kiboko ya wanafiki wa bukoba akiwemo aman na masawe.lete mabo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Redio zote na vijiweni mkoani Kagera, story ni Operesheni M4C - Pamoja daima!

    kajidanganye na danganya wanaodanganyika. Chadema kagera ni uchuro tu. kwanza hawana hata ofisi .hizi tabia za kuendesha chama kwa operesheni hakika mtayavuna mabua. vikao vya chama vikanfika hotelini. endelea kuwadanganya watu kupitia mitandao,mwishoni watakuja kupiga kura. muulize huyu Ta...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Tafadhali Manyerere Jackton update kwenye post ya kwanza. ili tuweze kukufuatilai vema. unachotakiwa kufanya ni kuedit tu post yako ya kwanza kila mara au akina Paw na Invisible wasaidie katika updates ya maana
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mapya Mgogoro wa Madiwani na Meya Bukoba (VIDEO) Serikali yashindwa kila kitu.

    kweli kabisa. mgogoro umemshinda Rais kikwete,kinana,nape,mangula sembuse RC masawe?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mapya Mgogoro wa Madiwani na Meya Bukoba (VIDEO) Serikali yashindwa kila kitu.

    RC masawe ni kibaraka wa Meya,alishavuta mpunga. kwa nini hasishawishi CAG akawasilisha ripoti yake? kwa nini hasikubali Meya akaa pembeni kwa siku moja wakapitisha bajeti?.majibu ya maswali haya utaelewa RC yuko upande gani.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kisiasa BUKOBA-Madiwani wameitwa sasa hivi kwa RC!

    safi sana kwa pointi hii. hiyo ndiyo suruhu .
Back
Top Bottom