Amani iwe nawe,... Samahan, Energy za watu ni nini? Na kuna aina ngapi za energy za watu. Zieleze kwa ufupi na ufasaha ili nijue kama tayari nisha fungua jicho la tatu
tafadhali soma hili na nisaidie kuelewa kinachotokea kwangu. Mimi kijana wenu wa Kitanzania, nina hizi spiritual chills energy (nguvu za kiroho) ambapo watu wengine wanaweza kuzihisi wakati ambao nitakuwa karibu nao, mtu atasikia kaubaridi mwilini mwake.
Hali hii hupelekea watu wengine...
Kuna uhusiano gani kati ya cable tow (hii kamba ya utamburisho wa Freemason) na Spiritual chills kwa watu ambao sio freemasonry.
Tafadhali soma hili na nisaidie kuelewa kinachotokea kwangu. Mimi kijana wenu wa kitanzania, nina hizi spiritual chills energy (nguvu za kiroho) ambapo watu wengine...
Tujinyenyekeze kwa Bwana Yesu hakika bila NEEMA yake tutapoteza haki za nafsi zetu. Mwovu shetani anatudhulumu sana hadi tunapoteza akili na fahamu ya kujua ipi ni haki yako kimsingi na hata ukifanya sio dhambi, mfano naweza kujiita hata mavi kwani dhambi ni ipi hapo? Tuishi kufuata amri 10...
Umetafsiri vizuri sana kuhusu nilichokuwa na maanisha. "Ni heri kuwa Moto au baridi asema Bwana" na Ole yake awaye vuguvugu maana hasira ya Bwana ipo juu yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.