mie nikiwa ni mjumbe wa baraza la madiwani kinondoni na nikishiriki katika maendeleo na siasa za jimbo la kinondoni,nachelea kutamka kuwa jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2015,jimbo hili lina nafasi kubwa ya kuchukuliwa na upinzani,kwa kuwa mbunge aliyepo sasa ndani ya chama anapigwa na...
kwa nini hamkutaka kuja huku ubungo(mandela road) kwa makabwela wenzenu tuwachangie? mkaamua kupita kwa wadosho tu hadi jangwani hebu badilisherni hiyo ruti
Leo ilikuwa vifijo na nderemo kwa wakazi wanaoishi kata ya Makuburi na Ubungo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika maeneo ya Riverside, baada ya Mnyika kuwapa taarifa kwa upande wa Makuburi kuwa fidia ya wakazi waishio kwenye nyumba tatu pembeni ya mto gide kuwa imeshalipwa na wamepewa notisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.