Recent content by Diwani Tz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

    Kama hujauuliza sasa umekurupuka nini? acha ufala.
  2. D

    JamiiForums Tanzania FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

    Nchi ilishauzwa zamani ila anakuja kuoneshwa mipaka. mi sijui niende somalia au syria? kwani hii nchi si yangu tena. Mpaka autonomy hatuna la!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    Wacha wee
  4. D

    JamiiForums Tanzania Pinda: CHADEMA wanatekeleza kauli yao ya nchi haita tawalika

    Majibu aliyotoa yamepinda kama yeye, kwani maandamano si haki ya kikatiba? utawala wa sheria je? kazi ya upinzani ni ipi?
  5. D

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    Wote mliochangia mtatunukiwa degree moja moja ya humanity and lifelong studies. Tunaomba mtusaidie kujua dalili zake zikoje?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Nipe matokeo ya singida.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    Serikali ina mkono katika mlipuko uliotokea.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Sijui huyu mp alipokuwa anaongea alikuwa katika hali gani, may be alionja kidogo au alikunywa zaidi!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

    Naomba kuuliza hivi ni kwa nini Zanzibar ina historia ya maraisi wengi tangu mapinduzi hadi sasa?
Back
Top Bottom