Recent content by Divine_lady

 1. D

  Urine Analyzer Machine inauzwa AX-1688 from German

  Kwasababu mimi ni mfanyabiashara wa vifaa tiba
 2. D

  Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa.

  Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
 3. D

  Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa

  Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
 4. D

  Urine Analyzer Machine inauzwa AX-1688 from German

  Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine (strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
 5. D

  INAUZWA Urine Chemistry Analyzer AX-1688 inauzwa bei maelewano

  Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
 6. D

  Story of Change Namna ya kuwasaidia Wanafunzi katika elimu ili kuongeza ufaulu

  Hicho kifaa kitatengenezwa katika mfumo tofauti tofauti inaweza kutumia battery, solar au umeme kwahiyo mzazi atamnunuliwa mtoto wake kifaa hicho kutokana na chanzo cha umeme anachotumia kwake.
 7. D

  Story of Change Namna ya kuwasaidia Wanafunzi katika elimu ili kuongeza ufaulu

  Tanzania ni nchi ambayo elimu yake bado ipo level fulani ya chini ambapo inahitajika jitihada za nguvu ili kuweza kupandisha hiyo level ya elimu iwe juu haswa katika shule za Serikali za msingi na sekondari. Wazo langu ni kuunda kifaa muundo wa daftari, ambacho kitakuwa na kalamu, rula...
 8. D

  Ushauri: Serikali iunde mashine ya ku-scan kadi ya bima ya afya

  Ndugu au mtu wa karibu wa mgonjwa ataliriport hilo swala hospitali ambapo mgonjwa atapatiwa huduma halafu madktari wataingiza hizo taarifa za mgonjwa kwa mfumo kama unaotumika sasahivi...Kutumia dole gumba haimaanishi kama huna mkono ndo kadi haitatumika hapana bali inatatua changamoto la kukaa...
 9. D

 10. D

  Mmmhh!! Sijaona katika hospital ambazo nimetembelea
 11. D

  Ushauri: Serikali iunde mashine ya ku-scan kadi ya bima ya afya

  Inawezekana kuepuka swala la kadi mmoja kutumika na watu wengi, mashine moja inaboreshwa kuwekea system mbili kuscan kadi na kuscan dole gumba baada ya hapo kwenye kompyuta taarifa zako zitaonekana.
 12. D

  Ushauri: Serikali iunde mashine ya ku-scan kadi ya bima ya afya

  Hakuna litakalo shindikana sema serikali inapaswa kuwekeza nguvu zaidi kwenye sekta ya Afya imedorora sanaa
Top Bottom