hahaha yaan unakosa confidence kisa chunusi?.....hzo chunusi znatibika,,,, tafuta dawa ya chunusi km ukishindwa kupata njoo huku JF andika uzi natafuta dawa ya chunusi wataalam watakusaidia maana najua wapo
Afu mbona unachagua chagua sana wanawake,,,, sikuzote mchagua naz huambulia...