Banana tu home ndugu hata kama unamiak 32 now ukianza kujitegemea wakati kipato huna utadhilika sana ni bora uchejwe unakaa home kuliko kutukanwa kodi huna.
VIjana wenzangu pale tunapoanza kujitegemea huwa tunazingatia kigezo kipi kati ya hivi.
Umri kuwa mkubwa ndo unaona basi ukajitegemee hata kama huna kipato utateseka huko na malipo ya kodi mpka utatamani nyumbani tena.au hata kama ninaumri mdogokuna watu miaka 25 tayari wanakipato cha kuwafanya...
Unajuwa watz wengi wanajuwa kutalii mbugani ghalama kubwa lakini siyo kweli kabisa kiingilio cha juu 10000 na chini sh 5000 tu sasa huu uelewa wakijitahidi kuufanya kila mtu akafahamu watu wataenda sana tu.
Wamegawa frash za kuhamasisha utalii mabasi yote pale ubungo tukiwa kwenye magari huwa tunaona ikiwekwa mambo mengine ni changamoto ndogo kama hivo wanavyozitatuwa
Ndugu nimewapongeza kwa walivyoanzisha kutangaza kwenye mabasi,unasema gharama za mtanzania zipo juu siyo kweli kaka mtz kuingia mbugani ni hela ya juu ni sh 10000 tu na mbuga nyingine ni sh 5000, mtz kulala hostel za tanapa ni sh 5000 hadi 10000 ghalama ziko wapi wakifanya vizuri...
Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuelekea Dodoma tulipofika maeneo ya benzi akasimama jamaa mmoja, alivyosimaa mimi nikajua ni wale wale wa kuuza sabuni na vipidozi.
Alipoanza kuongea ndipo nikagundua jambo tofauti, alikuwa anazungumza kuhusu kutembelea vivutio vya utalii alizungumza...
Kuna mtu humu alileta uzi anachekelea akaunti ya mange imepotezwa tena akaenda mbali zaidi na kuanza kujigamba kwamba huyo hawezi kucheza na serikali wakishilikiana na mafia,baada ya akaunti kurudi kauchuna kimya utadhani hajaona wakati iliporudi nauhakika alikuwa wa kwanza kujuwa kwa jinsi...
Ni wazo zuri bro naongezea tanapa waanzishe mabucha za nyama pori huku mtaani,yaani kunakuwepo na bucha hata moja kila mtaa mtu akitaka nyama pori anaenda kununua hapo ,ila wauawe wanyama ambao ni hawapo kwenye hatari ya kutoweka .
Ni tanzania inaweza kutokea hii,Uhamiaji wa nchi wanatowa barua ya kumtafuta mtu ,mkuu wa jeshi la polisi anasema atamshughulikia mtu lakini mtu mwingi anasema mtu huyo hana impact na serikali,haya ndo yale mambo zidumu fikra za mwalimu nyerere
Sasa ni mpaka atiwe mkoni hayo uliyoyasema ndi yatafanyika mada inaeleza ugumu wa kumtia mkononi,uwe unaelewa basi kabla ya kukoment upande wako kama ingekuwa rahisi kumpata wangeshampata zamani maana juwakosoa hjaanza leo
Kama kichwa cha habari kinavyosema natamani spika alizie kufukuzwa kwa wabunge hao ili uchaguzi ukarudiwe hii itampa taswila lipumba kwamba wabunge hao walipatikana kutokana na ushilikiano wa ukawa na siyo jambo lingine,
Asichokifahamu au inawezekana anafahamu lakini anajitowa ufahamu ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.