Nape Mnawiye na kauri zake za kuropoka ropoka ndizo zinasababisha wanachama wa CCM wanakihama chama kwa maelfu, kada huyu kweli hana kabisa mvuto , inadhihirisha pasipo shaka yoyote na mwenyekiti wake Kikwete hana uwezo wa kufikiri kwa sababu alitakiwa kuwa amemfukuza kwenye nafasi aliyonayo...
Nyie ukawa ni mapimbi kweli.yaani nyie hata la ukweli bado mnapinga kwani amuoni kuwa Lisu aliongopa?jengeni hoja sio ushabiki,kujenga kwenu hoja kutasaidia hats wale waliopoteza imani kurudi kundini.
Akihojiwa na Azam Tv katoka Rwanda. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, amesema yafuatayo :
"sasa chakushangaza safari hii CCM wanawagombea wawili wa urais mmoja anagombea kwa CCM na mwingine anagombea kwa Ukawa anaitwa Lowasa....wote ni CCM tu...sio wanamageuzi hao...Watanzania wasidanganywe..."...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.