AFRICA tuna neno UBUNTU
Maana yake wao Wapo kwa sababu sisi tupo, na sisi tupo kwa sababu wao Wapo.
Jambo lolote liwe zuri au baya likitokea hapa Tanzania, Kenya nayo inapata.
Mfano machafuko ya nchi yakitokea hapa Tanzania, Kenya nayo itahathirika kijamii, Kiulinzi na Usalama hata Uchumi...
John Mnyika ni hazina kubwa ya nchi, ni kiongozi mwenye matumizi mazuri ya ubongo wake, katika nyakati hizi anahitajika sana kuwa katibu mkuu wa CHADEMA
Mbona nyumbani Kwa Kina Halima Mdee, palipo kuwa na msiba, Ubungo Kibangu kulipambwa na bendera za CHADEMA.
Kuanzia Barabara Hadi getini, baadhi ya makamanda wa CHADEMA walikuwepo.
Mbona nyumbani Kwa Kina Halima Mdee, palipo kuwa na msiba kulipambwa na bendera za CHADEMA.
Kuanzia Barabara Hadi getini, baadhi ya makamanda wa CHADEMA walikuwepo.
Ni Vita Kati ya wayahudi vs Islamic, Mabepari wamehita
Hamas vs Israel ili kupumbaza ulimwengu tu.
Uingereza na washirika wake ndiyo wapo nyuma ya Hii vita.
Ifakara secondary alikuwa kiongozi, halafu alikuwa mnoko sana, kuna siku alimletea noma mshikaji anaitwa victor Mtitu aka Mdundo. Issue ilikuwa ndogo lakini ilifika mpaka kwa walimu.
Elimu ya kuandama kwa mwezi ni elimu kubwa sana,
mpaka leo duniani wanazuoni bado wanabishana kipi kipo sahihi, lakini Quran imesema hivi funga au fungueni swaum ramdhan kwa kuuona mwezi. Kama hawajauona basi Insha Allah wakiuona watafungua.
Hata nchi za Oman na Saudia Rabia, mwezi ukiandama...
NSSF TEMEKE pale sokoni ILALA NI Tatizo tena kuna changamoto kubwa tu,
NSSF wana bima ya afya kwa wananchama, hiyo BIMA ilivyo kama kifurushi mawasiliano, unaenda hospitali ukiwa mgonjwa unaambiwa huduma hakuna kifurushi chako kimekwisha, nenda kwenye OFISI YA NSSF uka update.
Mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.