Recent content by Disuma

  1. Disuma

    Prado for sale

    Bqz
  2. Disuma

    Prado for sale

    Kms kitu gani watu wanamagari zaidi ya 5 ya kutumia, sio kila mtu anaishi kama wewe.Akili finyu kakojoe ulale!
  3. Disuma

    Prado for sale

    Boss ni km115,000s tu nmerekebisa kwenye comment. Inshort gari bado ni nzuri sana
  4. Disuma

    Prado for sale

    Mashine petrol kaka
  5. Disuma

    Prado for sale

    Haha
  6. Disuma

    Prado for sale

    File lipo
  7. Disuma

    Prado for sale

    Automatic boss
  8. Disuma

    Prado for sale

    Nmetamani kununua model ya mbele yake ila kwa gari hii bado iko bomba sana
  9. Disuma

    Prado for sale

    Mileage ni 115107 & no accident record
  10. Disuma

    Prado for sale

    Land cruiser Prado Tx 2003-2004 115,000kms Automatic Petrol engine 3rz Pirelli new tires Dark grey Sports rims Dvd screens(3) 33milion shillings only No scratch and very well maintained Pls Call or whatsapp or text 0652744408 for any information
  11. Disuma

    Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

    Ni kweli hawaruhusu skuizi kwa kisingizio unaweza kumchoma mtu moto ikawa kesi
  12. Disuma

    Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

    Niko pamoja na wewe kabisa juu ya uloyosema
  13. Disuma

    Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

    Oil com wanaiba na hayo unayowekewa ni machafu...nilishauwa nozzles kwenye gx110. Gari ilikua fresh ila baada ya kuweka tu nusu tank..check engine light ikawaka.
  14. Disuma

    Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

    Mapenzi nayo ni KAZI
  15. Disuma

    Nchini kenya wabunge ni lazima wawe na shahada

    Ni jambo jema sana. Itapunguza wale wanaotumia muda wa bunge kulilia kofia aliyonyang'anywa na mwanamke nje ya bunge
Back
Top Bottom