Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Liliingia likiwa limetumia kilometa ngapi?Boss ni km115,000s tu nmerekebisa kwenye comment. Inshort gari bado ni nzuri sana
Liliingia likiwa limetumia kilometa ngapi?Boss ni km115,000s tu nmerekebisa kwenye comment. Inshort gari bado ni nzuri sana
Kwani gari kuundwa mwaka huo kuna uhusiano gani na kilometers ilizotembea?Yaani tokea gari iundwe mwaka 2004 kilometa ilizotembea ni aki moja na elfu arobaini na tisa tu?
Kweli??
Land cruiser Prado Tx
2003-2004
115,000kms
Automatic
Petrol engine 3rz
Pirelli new tires
Dark grey
Sports rims
Dvd screens(3)
33milion shillings only
No scratch and very well maintained
Pls Call or whatsapp or text 0652744408
for any information
View attachment 611155View attachment 611156View attachment 611157View attachment 611158View attachment 611159View attachment 611160View attachment 611161View attachment 611162
Magari hujayajua bado Mkuu.2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako,
Itakuwa inakula engine oil.
wewe jamaa kweli hujui maana ya gari na kilomita....km laki moja isikie tu hasa kwa gari private maana unaweza maliza mwaka upo below km elfu kumi2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako,
Itakuwa inakula engine oil.
Namba C, D?