Kumbuka hakuna uchaguzi wa bei rahisi..
Ndio maana viongozi wetu wanalindwa Kwa gharama kubwa..
Kuhusu kujengwa Kwa vituo vya afya kila KATA ndio dhamira na Lengo kuu la serikali yetu Pendwa ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muhimu mwezi wa kumi tumpe mama mitano tena.
Ukitaka maswali Yako hayo yapate majibu ni lazima kwanza ujue yafuatayo:
1. Nini kilimtoa Zito kabwe, Dr. Slaa na wengine wengi mashuhuri CHADEMA?
Ndipo utajua hii vita haijaanza Jana ni muendelezo na aliekiamsha anastahili pongezi japo ndio wao kwao wanamuona adui, mropokaji etc..
Vita ya...
Nimeona Jana: star tv inavoonekana Hawa wamezoeana na hizi aibu.. yaani Jana huyo jamaa na mwenzake anamzalilisha kwanza Hadi Nyerere.. yaani wanaongea pumba tupu na mwenzake NTOBI..
😆😆Hapana Brother, ulivosema Shule ya mama SAMIA ulinishtua mwanzo nikajua Shule iliyopo jilani hapa..
Mi sio mtu wa ligi🤝🤝🤝HERI YA MWAKA MPYA BROTHER..
Unaposema Shule ya mama SAMIA alafu ndani tunataka jina la Shule nyingine, huo ni mkanganyiko wa habari.
Kumbuka Kuna Shule zinaitwa Kwa jina hilo....
Angalizo:
Muda mwingine sio lazima wote tuwe watoa habari waachie waliosomea..Sisi kazi yetu ibaki kutoa maoni tu..
Kichwa Cha habari kimekaa kichochezichochezi, ilitosha kutaja jina la Shule na mmiliki tu ambaye ni serikali..
Anyway, waovu hao watafutwe mchana na usiku, wanarudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Mi kwangu nimeelewa kama ni ushauri hususani Kwa jamii inayomzunguka... Na hajatoa maelekezo Kwa jamii. Na hajazuia maana Kun Wenye uwezo wa kufanya hayo na maisha yakaendelea vizuri tu..
Nb:
Kikubwa watu waache kujiingiza kwenye gharama zisizo za msingi .. sasa Brother fikiria mtu anaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.