Recent content by dist111

  1. dist111

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Zamani tulikuwa tunawaita washika pembe, Endelea kushika pembe, wengine waendelee kukamua
  2. dist111

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Nchi yenye watu 6M, Ikapewa 100B kila mwaka na marekani lazima iendelee, Rushwa, wizi, umalaya upo tu kila sehemu na ndo maana nentanyahu anakesi ya rushwa. So, there is nothing special ni muda mrefu wa pesa za bure za marekani ndo zimewafikiaha hapo
  3. dist111

    JamiiForums Tanzania Hatukurupuki tukisema Wakristo Tanzania ni 70%+. Mikoa yenye Waislamu wengi ongeza Zanzibar iwe kama mkoa moja wa bara kiukubwa haifiki 25%.

    NI vizuri kwenye sensa ijayo kukawa na kipengele cha dini ya mhesabiwa ili tujue idadi ya wakristo na waislamu
  4. dist111

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Dah, Huu mtihani kwelikweli, Ningekuwa mm, ningempeleka mtoto kwa kaka/dada yake Kwanza, mpaka akili ikae sawa na kusamehe usaliti then ndo nijue cha kufanya. Aendelee kuomba mungu, amwezeshe kusamehe
  5. dist111

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Vyuo vya private hivi, Na diploma courses Public universities haya mambo yalishaisha kama si kupungua kabisa Ukiendekeza haya mambo utajikuta unazeeka huna unaloliaccoplish
  6. dist111

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi nimetumwa na mganga, nipe sindano tatu na kipande cha sanda…

    Kweli wanaune tumeumbiwa mateso, Unakuta huyo kimada naye alimloga ili ampate, sasa analogwa tena na njii kuu, hapa hujalogwa kazini (kama wewe ni bossi), na kama unanafasi kauwezo kuna watu kwenye familia wanakuloga pia uwasaidie wao tuu Yaani kwa kweli Mungu atusaidie tu
  7. dist111

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Mimi nimeshafanya haaya kwa kizazi changu na kipawa mungu alichonjaalia, I am comfortable wanangu watasoma mpaka madarasa yawabomokee, na wataishi mjini, na kipato cha uhakika hata wasipofanya kazi. Kazi kwako kalagabaho
  8. dist111

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Ajili ndogo utazijua tu, Hawa ndo wenye kichwa kama ubuyu, Ina maana hujui kuwa kila generation inakazi yake kwenye jamii, Wewe endelea kuwaza hivo hivo halafu mtoto wako aje kuokota makopo, kama ndo kazi yake. Maana kwa kizazi kijacho usipocreate Ajira kwa wanao hatakuwa na ajira labda ya...
  9. dist111

    JamiiForums Tanzania wana JF waislam mtusaidie tukate mzizi wa fitna, je ni kweli tangu mkiwa wadogo mlifundishwa na wazazi, madrasa, au misikitini kutuchukia wakristo ?

    1. Sisi waislamu hatuli kwenu kwa sababu tunajua mnachopika hakijachinjwa vzr, Ndo maana zamani jirani mkiristo anaita mtoto wa jiran muislam amchinjie kuku, ili kumhakikishia kuwa hana shida au yeye pia anakula kwa misingi mizuri. Tukijua kuwa mkiristo nazingatia kulavzr kwa mfano hauli...
  10. dist111

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Lazima Tanzania iitwe kwenye vikao vya Atomic, Au hujui kuwa tumempa Mrusi madini, na nguvu kubwa itatumika Mrusi aondoke kuchimba Uranium, Mostly, hivi vikao viko paid na partner countries, ila makamo wa raisi au raisi huwa halipiwi safari zake, ofisi inamlipia
  11. dist111

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Trust me, side meetings ni jambo la kawaida, Mara ya kwanza kuliona ilikuwa TICAD7, Wakati wa kikao cha Japan na Africa, nilienda na issue zangu, nikaunganishwa kwenye delegates wa Tanzania katika vikao vya uwekezaji, So rooms zilikuwa zipo za kutosha, wajapani wakijadilinana na watamzania...
  12. dist111

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Acha fujo, Hizo ni side meetings za vikao, mostly mkienda kwenye vikao vya kimataifa wanaandaa rooms kwa ajili ya side/Private meetings za viongozi/delegates Najua viena kuna kikao cha atomic kinaendelea, possible delegation hii ilienda kwenye kikao hiko, na wakaomba private room kufanya...
  13. dist111

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Akili ndogo shida saana, Unajiwazia wewe Tu, unashindwa kujua kuwa Ajira ni namna ya kurudiaha wealth yako au kipawa chako kwa jamii, Unashindwa kujua vizazi vyako vinahitajo ukumbusho wa uwezo na akili ya baba/babu yao Unashindwa kujua, vizazi vyako inabidi viandaliwe kiakili, saikolojia na...
  14. dist111

    JamiiForums Tanzania Kiti kung'ang'aniwa 2030

    Umesahau magufuli ndo alitengeneza hii department, Nadhani SSH kashindwa kuifuta tu, amepunguza tu viroba vya watu haviokotwi tena kunduchi. Au mmesahau viroba vilivokuwa vinaokotwa kimya kimya
  15. dist111

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

    Imani ni shida, Sio kwamba hakuna uchawi wala wanga au kurogwa, ila aliwazalo mjinga ndo humtokea.
Back
Top Bottom