Recent content by displayname

  1. displayname

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Kama kambi imeuzwa ijulikane hahaha!!
  2. displayname

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara. Msidanganyike!

    Umeshare upande mmoja tu wa stori au uzoefu wako ulioupata ama kuhushudia. Jaribu tafuta upande mwingie wa stoei au uzoefu ama ushuhudi wa mke aliyepewa mtaji na mume wa halmashauri bada ya kukopa benki huko na akatoboa tobooooo!! People always speak from their experience, ( and that is your...
  3. displayname

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    Ukiona biashara imeshamiri na kuwa katika peak aka kilele basi fahamu kifuatacho ni anguko so kwa wajasiri wa mali wa kweli huwa wanafanya kitu kinaitwa daivesifikesheni... Yaani wafungua biashara nyingine isiyoahabiliana na hiyo iliyo kwa peak.. Wajifunze kwa huyu mzee, mzee wa Azam Marine...
  4. displayname

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania ya 4 Afrika kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA

    Extended nukuu ya waziri wa fedha alipokiwa akiwasilisha bajeti ya serikali ya mwaka 2024/25.
  5. displayname

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania ya 4 Afrika kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA

    Maskini hakopeshekiii.... Ukiona nchi inakopa jua ni tajiri na inauwezi wa kulipa hata kwa gharama ya wananchi wake....
  6. displayname

    JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

    Kwa usiku barabara hiyo ni ubora wa taa za gari yako tu na pulling haha!! Barabara ya hatari sana hiyo hata usiku ni mwendo wa malori tena kwa sasa na mabus yakutosha tu.
  7. displayname

    JamiiForums Tanzania Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

    Bado haujafanya jambo moja nalo ni:- Achana na smartphone rudi kwa kitochi utapumzisha nafsi.
  8. displayname

    JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

    Na foleni hii ya barabara ya Dar Moro?! Au zile six ways zilishajengwa?!
  9. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Akili kumkichwaa na wanamake profiti...
  10. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Na 36 36% bila bima!!
  11. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Mtego mtegoniii sina hakika kama masharti ya mkataba yanapatokana kwa ESS
  12. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Na waende letsh Letshego
  13. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Haha umetisha mzeee wa lahaja ya kimvita hahaha!! Nilimaanisha enzi za ujimaaa
  14. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Eeeh mshahara mkubwa unapata pakubwaaa..., waweza jipatia pensheni yako kabla ya kustaafuu!!
  15. displayname

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mikopo kwa watumishi kupitia ESS Portal

    Haswaaa kila kitu ni nyuma ya screen yako tu!!
Back
Top Bottom