Recent content by dirii buu

  1. dirii buu

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Mantiki ni kwamba mshahara 370000 hadi 500000 nyongeza 35.1%. Ambapo ongezeko ni 130000. Kama 130000 ni fixed amount ya nyongeza kwa analipwa 1,200, 000/= nyongeza hiyo itakuwa 10.8% na sio 35.1
  2. dirii buu

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK SAMIA SULUHU HASSAN AMETANGAZA RASMI NYONGEZA YA YA TSHS 130,000 KWA WATUMISHI WA UMMA. KIMA CHA CHINI KUTOKA 370000 HADI 500000 SAWA ASILIMIA 35.1 NYONGEZA HII ITAKUWA TOFAUTI KWA NGAZI ZINGINE ZA MISHAHARA. NUKUU YA HOTUBA "NGAZI NYINGINE ZA...
  3. dirii buu

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Kima cha chini Ongezeko ni 130000 sawa 35.1% Assuming unalipwa 1,200,000. Na kama 130,000 ni fixed amount kwa watumishi wote. Mtumishi huyo atapata nyongeza ya 130,000 ÷1,200,000 ×100=10.8%
  4. dirii buu

    Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Wapiga kura 1016 uslmipovuka asilimia 49 unarudiwa uchaguzi
  5. dirii buu

    Anayezijua hoja za Mbowe zilizompelekea kugombea tena nafasi ya uwenyekiti wa chama aziweke hapa tuzijue

    Mbowe ana akili timaru. Amezoea kunywa sumu, hawezi kuachia CDM kwa TAL labda angekuwa Lema sawa.
  6. dirii buu

    Prof. Shivji katika hili amechanganya madesa

    Wamasai ni watanzania ndio maana wako kila mkoa. Na wanatambulika kama wa Tz sio WAKENYA
  7. dirii buu

    Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Umeandika mengi japo unachanganya mambo 1. Ngorongoro ndipo wafugaji wamehamishwa walioridhia mchakato na wamepewa na fidia. Wale ambao wanapiga kelele ni mapapa ambao wananufaika na malisho hawa wako Tz na Kenya. Na wengi wanatumia maneno wamasai wanaonewa wenyewe hawapo (cite ) . 2. Loliondo...
  8. dirii buu

    Utafiti binafsi nilioufanya Ngorongoro: Maasai wengi walikuwa wachunga ng'ombe za mafisadi ya ndani na nje ya nchi

    Kwenye suala Ngorongoro fisadi moja kabanwa na spika Tulia Akson mpaka raha. Kaambiwa soma sheria, kapata kigugumizi. Huenda ni miongoni mwa wanyonyaji nimesoma mahali ana ngombe 2000 Ngorongoro
  9. dirii buu

    Utafiti binafsi nilioufanya Ngorongoro: Maasai wengi walikuwa wachunga ng'ombe za mafisadi ya ndani na nje ya nchi

    Uhamiaji komaeni na wamasai wenye uraia wa nchi mbili wanaosumbua serikali ya TANZANIA inapofanya shughuli zake. Kumbuka wakenya wamezoea ardhi ya mali ya Raia kwa katiba yao hapa TZ wakome. Na serikali ijue hili ngombe au mifugo ambao bado wako kwenye pori tengefu na kwenye hifadhi ya...
  10. dirii buu

    Sakata la Ngorongoro; Tusioelewa vizuri tueleweshwe

    Ngorongoro creta wamasai wanahamishwa. Maana binadamu na mifugo wamekuwa wengi, kiuhalisia wanyama wako hatarini kutoweka. Mpango wa serikali kuwahamisha umekaa vizuri kwa maslahi ya Taifa. Loliondo ni kuweka mipaka ya Eneo ambalo litakuwa pori TENGEVU kwa kusudio endelefu la kuondoa shughuli...
  11. dirii buu

    Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Hakuna Ardhi ya WAMASAI . Ardhi ni mali SERIKALI ya Jamhuri ya TANZANIA huko Kenya ardhi ndio mali ya Raia. Nyamaza
  12. dirii buu

    Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    Ulikuwepo na ukapima mita Mia nne umbali au wewe ni wale wale ambao mnatuma picha hizo kwa code za Kenya
Back
Top Bottom