Mbona umesema wamefurika wafanyabiashara then umewataja 3 tu au unamaanisha nini...? na kama wameweza fanya kazi wakwa matajiri hivyo ni dhahiri watanya kazi sana na wananchi wao watakua matajiri...! au wewe ulitaka waingie wakiwa maskini then watajirikie ndani ya siasa ndio wataweza tuletea...
uamuzi wako si mbaya ni wakizalendo zaidi maana swala la kua kiongozi wa chama kama CHADEMA nyakati kama hizi swala la shughuli zako kulipa kipaumbelewe hatutafika kwaHIYO SIYO VIBAYA KWA MAAMUZI HAYO ila usikinene vibaya kamahiyo nafasi umeiacha na kuishindwa maana kuna wengine wanaweza kuliko...
Haujui Ulichokiandika laiti kama ungejua usinge andika kwa mtazamo huo maana hata cha msingi hapo sikiioni ebu kua makini na unacho kiandika sisi tunao hudhuria mikutano yao ndio tunajua kwanini baadhi yao hawaoonekani kwenye hiyo mikutano
tatizo la vijana wasio jielewa wanatamaa sana na hawaoni mbali kabisa mwampamba na shonza ungekuta wako mbali sana kwneye medali ya siasa sasa ila mbio za sakafuni huuisha ukingoni sasa mwisho wao umeshadhihirika tayari niwape pole sana nawatafakaria upya na kutubu wajue sasa jinsi ya kuanza...
hiyo kwel ni kod halali na inatambulikana kisheria kama ilivyopitishwa lakini madhara yake ni makubwa ni vema kama isinge pitishwa kuataka kula kilaini bila kujali walio wengi ni hatar na serikal makin it has to adhere quickly to these noises maana vyanzo vya mapato kwenye hi nchi sio simu 2 ni...
Hapo ni hatari hicho kipengele inabid kibalishwe maana kwanza hata kilivyo hakina maslai kwamba ni CHADEMA au CCM hicho kipengele kinahitaj marekebisho........ :yield::A S-key:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.