Habari za leo
Tamthilia mpya ya kiswahili inaitwa "DHAMIRA" ni story inayo onyesha watu kijijini na mjini, jinsi wanavyo pigana kuboresha maisha yao katika mazingira na hali ngumu. Ni story yenye, action, mapenzi, uchawi na mengi zaidi! USIKOSE!
Waigizaji ; Jumaa Mtima, Prosper Kire, Halima...