Recent content by Diplopoda

  1. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Rais wetu mama samia kapiga masters katika chuo hiki haeshimiki?
  2. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Hatuangaliii chuo ulicho soma tunaangalia uajibikaji wako na maarifa uliopata chuo ni msaada tuu
  3. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Level zote kuanzia certificate hadi PHD
  4. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Boss open kuna kuingia kwa intake January,april tayari hivyo bado July ambayo ndio dirisha risha funguliwa na washaanza kutuma maombi.Kisha kuna October intake 2021 pambana mkuuu ukamilishe ndoto zako
  5. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Australia

    Ivi ukipewa scholarship baada ya kumaliza na kuajiliwa utadaiwa au wajuzi mtusaidie tunao soma bacherol.
  6. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Shukurani mkuu
  7. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Master of Project Management inayotolewa na Open university of Tanzania soko lake la ajira limekaaje?

    Kuna Uzi kama huuu na chuo hicho hicho fuatilia watu wametoa mawazo yao mazur
  8. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Master of Project Management inayotolewa na Open university of Tanzania soko lake la ajira limekaaje?

    Kuna Uzi kama huuu na chuo hicho hicho fuatilia watu wametoa mawazo yao mazur
  9. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Wakuu kuna dogo kaniuliza sehemu flani anaomba ushauri kwamba anaitaji kusoma masters yeye ni mwalimu sasa anataka kujiendeleza hivyo basi kaniuliza ipi masters yenye fulsa katika upande wake na ni mwajiwa kwa baadae 1:Masters of education. 2:.....of adminstration,planning,policy and study...
  10. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Jaribu kufuatilia udsm kama wana everning class
  11. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Nenda regional centre ulio jiandikishia watakwenda kuactivate account yako au namba yako ya usajili au kama kuna maelekezo watakuambia open raha sana karibu mkuuu
  12. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Mfano bacherol yoyote ile unatakiwa kusoma maximum unit 40 minimum 36 3years hivyo basi kuna mitihani aina mbili moja special annual examination unaweza andika muda wowte pale tangazo la kusajili masomo kwa ajili ya mtihani pili annual examination hivyo basi unaweza ukawa umesajili course 10...
  13. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada mwenye prospectus ya Open University softy copy, au kama Hard copy anipigie picha programs zote za Social Sciences

    Tembelea www.out.ac.com kila kitu utakiona na haja yako itakamilika karibu sana
  14. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Open hakuna mkopo moja kwa moja labda uwe umefadhiliwa na mwajiri wako au makampuni yakusomeshe ila upande wa HESLB ni ngumu
  15. Diplopoda

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Kweli kabisa niliwahi mnukuu makamo mkuuu wa chuo cha open akisema kusoma ni kama kukimbia marathon hivyo mtaanza pamoja ila kila mmoja atafika end point kwa wakati wake kutokana na nguvu binafsi ya kukimbia hivyo wasio fika pale na kuishia njiana hukisema chuo vibaya mno wakati uwezo wa mtu...
Back
Top Bottom