Kuna Watu wanaodai wanamatatizo mbalimbali hasa kutoka Nchi za Afrika Magharibi(Gambia,Senegal,Burkinafaso),Hawa ni watu waliojipanga kwelikweli na Usipokua Makini utadhani kweli ni Watu wenye Kuhitaji msaada kumbe Wapi Bwana,Wanatumia Lugha za Huruma na Hata kumshirikisha Mungu ili Wadhihirike...
Ni ajabu kubwa Kwa Hadhi ya Bunge Letu lenye Hadhi ya Juu A.Mashariki na Kwingineko kuendelea Kutumia kura Za Ndiooooooo na Sioooooo kwa Sauti.
Sio Siri Moyo wangu hupata Majeraha Makubwa Pale inapofikia Kipindi cha Kupitisha Hoja Za Msingi tena Zenye Maslahi Makubwa Zinaamuliwa Kwa Kula Za...
Bila shaka Suala kubwa na la Msingi nchini kwetu ni kuhusu Suala la Mchakato wa Katiba Mpya.
Sisi sote ni Mashahidi kua Vyama vya Upinzani Pamoja na Wadau wengine Wenye Mapenzi Mema Na nchi Yetu wamekua Mstari wa Mbele Kutetea Mchakato wa Katiba Mpya kua Mchakato Shirikishi kwa Wananchi Wenyewe...
Subiri leo Pale Jangwani uone kama wametumwa na Watanzania au la. Bila shaka hata wewe Moyo unatamani uelekeze masikio na macho yako kujua nini kitakua kinaendelea.
Kama kweli Maneno haya yamesemwa na Nape Basi inafikia kipindi tuwe na Sheria zinazowatia Hatiani wote wanodhihirisha kwa Maksudi kua Wanafanya Mambo kwa Maslahi yao Binafsi na Si Maslahi ya Wananchi,yaani sisi usiku kucha tunakesha kuombea Mchakato wa Katiba Mpya uwe wa Haki na Usawa afu...
Kwa kua hawajazuia Mkutano kufanyika,na walichopinga ni Maandamano tu ni Vema Viongozi wetu wa Huo Mkutano wakajaribu kutumia Hekima walizonazo na zilizotukuka sana wakakubaliana na Matakwa ya Jeshi la Polisi Kuepusha Shari inayoweza jitokeza ikapelekea kuvurugika Kwa Mkutano kwa Ujumla...
Kwa kua hawajazuia Mkutano kufanyika,na walichopinga ni Maandamano tu ni Vema Viongozi wetu wa Huo Mkutano wakajaribu kutumia Hekima walizonazo na zilizotukuka sana wakakubaliana na Matakwa ya Jeshi la Polisi Kuepusha Shari inayoweza jitokeza ikapelekea kuvurugika Kwa Mkutano kwa Ujumla Jambo...
Mbali na Changamoto za hapa na Pale za Bidii ya Mh.Waziri Mkuu anazokabiliana nazo katika uhamasishaji wa Jamii ya Kitanzania kuhusu Ufugaji wa Nyuki,lakini kuna Baadhi ya Wananchi wameitika wito huo na kujitoa kinagaubaga kuchangamkia fursa hiyo yenye Mtaji mdogo katika baadhi ya Maeneo.
Sisi...
Kwakua Wabunge wa Chama Tawala wanadai kua Wapinzani ni Wapuuzi wanapaswa Kupuuzwa sasa Mbona Kila Mbunge Wa CCM akisimama Badala ya Kuchangia Mswada Wa Mabadiriko ya Sheria wanawashambaulia hao wanaodai ni Wapuuzi? Tungewaona wenye hekima Kwa kua Wamebakia bungeni kama wangeendelea Kuchangia...
Wabunge wanapojadili Mswada wa kuwezesha kua Sheria ni jambo ambao linahitaji umakini wa hali ya Juu bila kufata ushabiki wa Itikadi za Vyama,kwa Kua Sheria inapotungwa Tayari inakua Na impact kubwa mahali itakapotumika,Wabunge wanapotofautiana katika Kutunga sheria inaonesha kuna Mapungufu...
Kwa mapendekezo ya Rasimu ya Katiba ijayo,inawabidi kutoa inta kwenye masikoio yao wawe sikivu, lasivyo tutawawajibisha kwa kuwatimua kazi wanaojiita wawakilishi kumbe wawakilishi wafu Bungeni,Tuombe Mungu Mapendekezo ya Kuwawajibisha wabunge kwenye Rasimu ya katiba ijayo yapite bila...
Mkuu kwa hayo waliyosema kama ni kweli,na wao wamekosea... hawakupaswa kusema CHADEMA wanatafuta umaarufu kisiasa kupitia kifo cha Mwangosi,wana uhakika gani katika hilo?kama wanao basi wauweke hadharani jamii ifahamu,wao wangesema kua hawapo tayari kushiriki katika ujenzi wa Mnara kawasababu...
Kwa jinsi nimuelewavyo Dr.Slaa Alivyo mtu makini,nina mashaka kama kweli Alitoa ahadi hewa ya kuwasomesha vijana wa Mwangosi.
Tafadhali Dr,Uliye kipenzi cha Wengi,kama kawaida yako ya wepesi wa kutoa Ufafanuzi wa yanayokuhusu tunakuomba na kukusisi uweleze wana uma kama kweli ahadi ile bado...
Sio siri wala Uongo tena Kua Wabunge walio Wengi hasa wa Chama tawala hawatambui wajibu wao Pale Bungeni,Wamesahau kilichowapeleka ,ama wanafanya maksudi au kwa kulinda maslahi ya Vyama vyao.
Wanashindwa kuisimamia serikali,kuiwajibisha na kutetea hoja za Msingi zenye maslahi na Tija katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.