Recent content by Diop

  1. D

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

    Lilikua swala la mda tu nabado ,hahaha
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Laurent Kweka anayetuhumiwa kumuua Mkewe Jenipher kwa risasi huko Bunju A, Kufikishwa Mahakamani leo

    Africa bure kabisa, hata mawakili nao wanajua kuna ulaji hapo!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Laurent Kweka anayetuhumiwa kumuua Mkewe Jenipher kwa risasi huko Bunju A, Kufikishwa Mahakamani leo

    Picha inaanza hati ya mashitaka inakosewa..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Inshu kubwa hapo ni kulinda Faragha, Mzee alikua anawahi kusikia wanaongea nini?Mlinzi yuko sahihi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Kuna Waafrica waliwaza kupindua serikali tu...msichukulie simple, ndo maana na uchifu ukapigwa chini, nenda uganda uliza Kabaka alisumbuaje?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Wanaoamini history can predict the future ndo watu wajinga na wapumbavu duniani...Kuna Tacticals na Strategics
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Soma historia, hapo Kenya,Kenyata aliongozaje?,Kamuzu Banda? e.t.c
  8. D

    JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    KUna dhana kwa history cant predict the future but the present situation can predict the future...hii utumiwa na wenye akili kubwa duniani..Chao
  9. D

    JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Zama zile sio hizi,mapinduzi yalikua njenje..yeye mwenyewe alinusurika!serikali nyingi Africa zilipitia hekaheka ya mapinzuzi zama zile,so alikua sahihi kuongoza vile
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Duh poleni
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Inasagwa nakua unga afu unaanzishiwa dozi,ni rahisi kuchanganywa kwenye unga unapikiwa ugali..Kansa ya utumbo fasta ,hahaha
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

    Zipo saratani zakutengenezwa,kumbuka ilo pia
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Mzee Kenyatta aliona mbali sana Mzee Kenyatta aliona mbali sana,hahaha
  14. D

    JamiiForums Tanzania LULU aibukia Mhimbili, Homeboy yafika majuu

    Mashi ga Ngoko
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

    Huyu mwafrica mwenzetu alijitafuta,kutoka kufail form two ,na kuamua kua mfanyabiashara ,uwezo wake ukamfikisha hapo..He was a Genius,leo watu nikuponda tu..*** Africa
Back
Top Bottom