Recent content by diography

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kumshawishi Lowassa kugombea urais lapamba moto

    Lowassa n habar nyingine, wengine wanajishaua tu nao waonekane pia, et Membe nae awe Rais duuuuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    producer anaown beat coz yy ndo analitengeneza(composer) msanii anaweza akauziwa beat moja kwa moja hapa producer ametransfer ownership au akaingia tu makubaliano na msanii alitumie ktk wimbo wake na hyo haimzuii producer kulitumia beat hlo ktk nymbo nyngne. So kama beat la wimbo huo lmefanyiwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Difenda 9 za Polisi zatumika kusimamia uvunjwaji wa nyumba, Ni ile ya Lowassa

    sheria haina mnyonge wara imara inawachukulia watu wote kuwa n sawa, so hakuna alie juu ya sheria, kuishi pale kwa miaka 10 sio issue kikubwa n kavamia ardhi ya m2 na anatakiwa kuondoka
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kwa record na duru za kisiasa kutokana na utafiti mdogo nlioufanya mimi kama mimi, chama changu cha mapinduzi kishinda kwake n utatokana na kufanya uteuzi bora wa mtu wa kuipeperusha bendera ya chama chetu, na mtu sahihi, msafi na kipenz cha watu ni Lowassa vinginevyo chama changu kijiandae kuwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    hebu thibitisha ukiongeacho, huwez jua afya ya mtu wakat ww sio daktari wake, kwa taarifa yako tu Lowassa yuko imara kama jiwe
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    nahisi huwajui mafisadi wewe, hakuna kiongozi mwenye uwezo wa kuthubutu kwa kipindi hiki kama Lowassa, anauwezo wa kufanya yasiowezekana kuwezekana. Fikiria upya ndugu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    ndo mtihani wa aina gan huo, hebu fafanua
  8. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Ni imani yangu kuwa Watanzania wanampenda na wanaimani na Lowassa, shime CCM tuungane kumusupport na kamati kuu impitishe ili ukawa wasifurukute
Back
Top Bottom