Recent content by dinosaur

  1. D

    Humphrey Polepole atakuwa channel 10

    polepole ni mashine nzuri ya CCM!!! yenye kutaka maslahi.
  2. D

    PICHA: askari FFU akimpigia Salute Lowassa Kigoma

    hakuna namna nyingine!! apige salute!!
  3. D

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    yaaani waache mambo ya kukiletea chama ushindi wameanza kujadili lowasa? kumbe jamaa ni muhimu CCM!!!
  4. D

    Prof. Kitila Mkumbo: Lowassa ameonyesha ujasiri wa hali ya juu!

    prof mkumbo!! kumbe kunawakati unatoa vitu safi!!! big up!!
  5. D

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    watu majua kubwabwaja tu!!tulieni october itasema.
  6. D

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    mmm!!hii sinema mpya tena.
  7. D

    CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

    ni bora usiwe na wahandisi ndani ya chama!! maaana tuna wahandisi wanasaini majengo feki na barabara ovyo!!! wahandisi njaaa!!! wachumia tumbo.
  8. D

    Kingunge Ngombale Mwiru anafahamika kwa “usaliti” wa chinichini kwa mamlaka za juu na kwa chama,

    Leo mnamtusi kingunge!! ambae amewapangia propaganda nyingi? lakini sishangai ni kama ya marehem komba kwa walioba ndani ya katiba mpya.
  9. D

    Lembeli: Ukitaka kuona 'nyeti' za kuku subiri apulizwe na Upepo

    viva!! viva Tanzania!!viva CHADEMA.
  10. D

    Lembeli: Ukitaka kuona 'nyeti' za kuku subiri apulizwe na Upepo

    delete kabisa hawa makengeza!! maaaana tumeisha wachoka!!
  11. D

    Kura za maoni CHADEMA Mtwara mjini: Habari ya mjini ni Joel Nanauka

    wekeni watu makini!!! na ambao sio wa ndio tu bungeni.
  12. D

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    Vijitetesi visivyo na uhakika wala dalili ya ukweli!!
  13. D

    Magreth Simwanza Sitta anawahonga wajumbe Urambo kata ya Songambele

    dhuluma,unyonyaji,rushwa,ukatili,ubabe,utemi,umwinyi,ufisadi,uonevu,na kutokutenda haki hivi vyote ni pacha ndani ya MAKENGEZA!! ni tabia yao kama ya nyoka kujivua gamba!!!
Back
Top Bottom