Recent content by dinomwaluko

  1. D

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    kiukweli kwahili binafsi nampongeza sana Paul makonda japo sijawahi kumpongeza kwa chochoe....vita hii n kubwa sana kwake..kuamua kuivulia shati n ujasiri mkubwa sana...anaebeza hili binafsi namshangaa...makonda amethubutu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bila Tundu Lissu nchi ingekuwa giza, tungekuwa tumefungwa midomo kwa gundi ya chuma

    lisu Mungu akufunike na mabaya ya watu Wa ccm maana hakika unafanya ile ilio haki....bila wewe saizi hakuna ambae angethubutu kupanua kinywa chake dhidi ya faru john
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kalimba, Kada wa CCM afunguka. Aeleza wazi kutoridhishwa na mwenendo wa mwenyekiti wake!

    sijawahi kuandika kitu humu jf ila huyu mwana ccm anaakili kweli mpaka nimemshangaa....ninadra sana kukuta mwana ccm anamawazo huru kiasi hiki
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nini kimemtokea Tundu Lissu kwa kubadili jina la Dikteta Uchwara na sasa anaita Mtukufu Rais?

    kumuita binadam mtukufu ni tusi kubwa sana bora mtu akuite dikteta.....hata kuelewa hili tu limekua gumu??? ile ni satire alioitumia lisu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nikimtazama Tundu Lissu huwa nacheka sana kwa anayoyafanya

    sasa umeandika nn hiki Mkuu mbona unajiuma uma tu hueleweki yaani Mara ananichekesha alafu ukisoma hamna sehem uliyocheka
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli zaidi ya kauli za kibabe ana nini kingine?

    mim mwenyew simuelewi mtukufu raisi.....kiukweli namkubali sana na kwa 2015 kulikua hamna alternative zaidi yake.....lakini hilo lakuzuia mikutano ya kisiasa...mh limekua gumu sana kwangu mimi kumwelewa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lissu: Barua ya Sekretarieti ya Maadili ni njama ya kutengeneza mazingira ya kisheria kunivua Ubunge

    hii tume sindoilishindwa kuwashugulikia wakina tibaijuka na chenge??? hivi hii tz mbona watu na vitengo vinatumika sana hata kwa mambo yakiharamia ilimradi kufanya katiba inayovunjwa na mhe.iendane sawa na wanachotaka wao??
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane, kutokubaliana: Maandamano, ubabe havitaisaidia CHADEMA

    kwann unaongea kikada hivo?? hebu piga picha wew ndoungekua ukawa mmeshadhibitiwa kuongea popote iwe kuanzia bungeni hadi mitaani ungefanya nn??
  9. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

    licha ya pro.safari hata mabele marando sikuizi simuoni sijui wameenda wapi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

    tundulisu yupo vizuri sana....wenye PhD wengii hamna kitu kichwani
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa redioni, adai tumepata uongozi mbaya kuliko wa Kikwete

    lisu ni moja ya wanasiasa wachache wenye akili sana Africa....mi niseme wazi Mimi mpaka Leo simpendi owasa na sintokaa nijutie kumchagua Magu...najuhudi anazozifanya za kushugulikia ufisadi mwake 100%........lakini nakwazika sana anapoubana upinzani katika kila pande.....pamoja na mapungufu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kujijenga kwa Tundu Lissu ni tishio kwa uongozi wa CHADEMA

    lisu moja kati ya watu makini sana afrika...anafaaa kua mgombe uraisi kupitia cdm 2020 japo akikosa aiasa za kibunge zitamfanya awe dormant ...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu unakumbuka kitu?

    kama hii katiba iliopo pamoja na mapungufu yake mengi.....lakini bado watu hawaiheshimu wanaikanyaga na wanafanya vitu kutokea kichwani...mpya ndo wangeiheshim???.....hii nchi inahitaji zaidi ya katba..nacho ni watz kujitambua...saaahivi uelewa Mdogo sana
  14. D

    JamiiForums Tanzania Watu aina ya Tundu Lissu ni Matokeo ya Huruma ya Kikwete

    hivi nyie ccm na raisi mbona mnawachokonoa hivo upinzani nyinyi.....yani manataka wasikohoe?? sasa kisa cha kuwazuia kufanya mikutano ilihali nyimnafanya mana yake nini???? alafu mnavoendesha kamata kamata ya wapinzani hamjui mnatengeneza asira za chinichini za wananchi
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajulikani alipo, Dar hajafika, Jana walilala Dodoma

    lisu Mkuu sasahivi ukiachiliwa usikubali kuongea na wanahabari....tatizo wakikuona umetoka tuu wanakuletea maiki nyingi...nawe vile hujizuiagi kuongea unaongea mpaka basi matokeo yake unakua unakamatwa kila Siku.......sasa hiv wakikwachia toka kimyakimya kuepusha shali
Back
Top Bottom