Recent content by dingiuk

  1. D

    Cuf vipi? Si walisema......

    Hawana jipya walikuwa wanawasaidia mabwana zao ili washinde lakini wamekula mweleka wote chini.unafiki hauwezi kuushinda ukweli
  2. D

    VIDEO: CHADEMA wavuruga jimboni kwa Naibu Spika Job Ndugai

    Jamani naomba msaada video ikiwekwa nikijaribu kufungua inaniambia check connection setting.mwenye ujuzi anielekeze.
  3. D

    Madiwani waliohamia Chadema toka CCM Sengerema wang'ang'ania

    Jamani hawa magamba wanaogopa chaguzi kwa sasa wapo radhi wpindishe sheria ili kuepukana na aibu ya kushindwa
  4. D

    Chupi za kileo za kina dada

    Hiyo kali
  5. D

    Mahakama yaisindikiza CHADEMA Ikulu

    Hakika haki lmetendeka.haki ya mtu itacheleweshwa tu na si kupokwa wana arusha wamerudishiwa haki yao iliyocheleweshwa
Back
Top Bottom