Mahakama yaisindikiza CHADEMA Ikulu

Mahakama yaisindikiza CHADEMA Ikulu

Hakika haki lmetendeka.haki ya mtu itacheleweshwa tu na si kupokwa wana arusha wamerudishiwa haki yao iliyocheleweshwa
 
Acheni unafki na kuwa vigegeu ni ninyi haohao mlokua mnaizonga mahakama kwamba imetumika kwa ikulu kutoa maamuzi yale ya arusha, leo mnaisifia mi hata siwaelewi
 
Ni dhahiri sasa Mahakama,kama Mhimili wa Kutoa Haki Tanzania,imechoka kutumiwa na Serikali na chama tawala kukandamiza demokrasia nchini Tanzania.Imechoka kuwa kichaka cha hujuma juu ya demokrasia. Mahakama imechoka kuwa na Wabunge wa Mahakama na vimbelembele-makada wa kupinga hata visivyowahusu. Sasa Mahakama imeamka.

Kilichotokea kwa Yamsebo-kule Sumbawanga,Mnyika-Ubungo,Lema-Arusha Mjini,na kwa Madiwani wa Mwanza na Arusha ni ushahidi tosha. Kama CCM na Serikali yake haijui,kesi hizi zinaipaisha CHADEMA kwenda juu zaidi na kuelekea Ikulu 2015. Hebu vuta picha ya nchi hii leo baada ya Ushindi wa Lema wa CHADEMA!

Vuta picha ya Arusha na mikoa mingine atakapopita Lema kama Mbunge wa Arusha mjini.Nchi itatikisika kwa furaha na kukubalika kwa CHADEMA. CCM na vibaraka wake wanafanya kosa kubwa. Wanaifanya Mahakama iipaishe CHADEMA juu na juu zaidi kiumarufu.

Sasa wale wa M7 mtulie. CHADEMA ijipange kimkakati na kihoja luelekea Ikulu 2015.Njia imefunguka. Njia nyeupe. Eee Mwenyezi Mungu niongeze umri wa kuishi niione siku ya ukombozi wa nchi hii toka kwa hawa waliochoka kutuongoza CCM na vibaraka wao. Nakuomba sana Mwenyezi Mungu.Amina.
kaka umesahau igunga na madiwani arusha.
 
Hii ni ishara kuwa haki itaendelea kutendwa CCM wajiandae na kebei zao kuwa sasa watake wasitake watanyoosha mikono nao wawe wapinzani kama vyama vingine nao waanze kupiga miayo.

Mungu ni wa wote sio CCM tu
Aksante Mungu
 
Jaji Mkuu Chande alishaona ukweli wa kisheria, kujitoa ilikuwa danganya toto na kurinda heshima ya aliyemteua. Sasa lazima majaji wote wasio na sifa watimuliwe
 
Back
Top Bottom