Recent content by ding ten

  1. ding ten

    Viongozi wetu wasahaulifu sana

    hapa ukimuuliza sijui atajibu nini, "wasomi wamekuwa watumwa kwa wanasiasa"
  2. ding ten

    Nimefurahia Nape kutenguliwa uwaziri, sababu hizi hapa

    *BINAFSI SIMLILII NAPE NNAUYE.* Mimi sina mda wa kumlilia Nape Nnauye hata sekunde moja, nitumie mda huu kulia na kuomboleza kwa ajili ya mtanzania maskini na mnyonge anayefikiri CCM ni chama chake, labda tu kama unatokea ukoo wa BASHITE ORIGINAL lakini nje ya hapo wewe ni mjinga na...
  3. ding ten

    Habari Leo na Uhuru hawatambui Uhuru wa vyombo vya habari?

    maendeleo ya sinema kupakia kwenye container gar ya znz na kusema imetoka japan ili kutuhamisha kwenye hoja ya msingi....
  4. ding ten

    Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

    alisema MH. RAIS TUNDU LISSU kuwa "huyu DIKTETA UCHWARA inabidi apingwe kwa njia yeyote" wizara zipo tu kwa matakwa ya KIKATIBA ila hakuna wizara inayo operate independently.... maamuzi yote anaamua dikteta UCHWARA, yeye ndio wazir wa fedha na mipango... yeye ndio wazir wa uchukuzi.... yeye...
  5. ding ten

    Kwanini Wazungu hawawaamini CHADEMA na Upinzani wa Tanzania kwa ujumla?

    donald trump yupi aliemsifia rais wako? unatokea LUMUMBA? maana wanaotokea huko ndio huwa hawajishughulishi na KUFIKIRI. afu usiseme rais wetu ni rais wa LUBUVA.
  6. ding ten

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    atayethibitisha kuwa askofu GWAJIMA ni muongo au MKWELI ni makonda mwenyewe.... ngoja nikuulize swali mtoa post... "hivi vyeti vya makonda ana vihifadhi MBINGUNI?" kwamba ni mbali hawezi kuvifuata awaoneshe watu ili kum - prove wrong GWAJIMA na akamshtaki kwa kuchafua image yake kwa...
  7. ding ten

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    unafiki wake ni nini? kwani kuna UBAYA gani Gwajima kuwa karibisha wazee kutoka KOROMIJE kuongea na wana familia ya UFUFUO na UZIMA? mna hofu na nini? acheni hofu gwajima hamiliki JESHI LOLOTE nchini..... Gwajima awalete tu wageni kutoka KOROMIJE siku ya jumapili.... Sent from my SM-J200F...
  8. ding ten

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    achana na mange kimambi kwanza tuanze na hili la kutumia IDENTITY ya mtu mwingine kama ndio wewe..! kupata 0 sio KOSA, kosa ni pale unapotumia cheti cha mtu ambaye sio wewe...! mimi nilidhani before kum attack mange ungemshauri BASHITE alite vyeti vyake watu waone ukweli wa mambo...! "to...
Back
Top Bottom