Imekuwa ni hamu na ndoto za muda mrefu kwa watanzania kuipata TANZANIA waitakayo.
Tanzania inayojali usawa,Tanzania ambayo watu wake wanapata huduma bora za afya, elimu, miundo mbinu bora, Barabara, reli, viwanja vya ndege na ustawi bora kwa watanzania wote, Viongozi bora wa kisiasa wanaojali...