Sio hivyo tu enzi za wanachama kupiga kura ndio alikuwa anawaacha kura kwa maelfu mengi tu kina NTAGAZWA WANAMJUA na kuhusu hilo suala wanalomsingizia la kuua au ujambazi ni kashfa tu, mbona siku zote wako naye na anashiriki shughuli za kimaendelo ikija kwenye kumkata jina ndio zinakuja skendo...
pande gani mechi imeshaisha,
tunachoonesha hapa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za wananchi kuwekewa mgombea wasiyemtaka,kuhusu maamuzi walishafanya wanavyojua wenyewe lakini wanavunja wanaCCM mioyo na hilo jimbo upinzani watachukua kama mchezo
wewe ndio hueleweki soma mwanzo mpaka mwisho mbona unachukua vitu nusunusu na mbona hauongelei suala la kuambiwa na HAYATI MAGUFULI kuwa avumilie ingekuwa ni mtu asiyefaa hata HAYATI MAGUFULI asingemwambia avumilie!
Bwana JAMAL TAMIM amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na wanaMUHAMBWE wanalijua hilo, na amekuwa mvumilivu sana japo kuna genge la baadhi ya viongozi linaloonesha kumpiga vita,
karibu kila mara amekuwa akiongoza kwenye kura za maoni ( kasoro mwaka jana ambako waliopiga kura...
Tatizo ni wanaMUHAMBWE kunyimwa HAKI YETU ya kuwa na kiongozi tumpendaye na tumtakaye kwa hivyo itabidi tu tumchague mwingine kwa sababu yule tunayemtaka hakupewa haki ya kushiriki, na bwana JAMAL TAMIMU inakuwa kama ananyimwa haki yake hata kama ni wewe ungejisikiaje!?
Bwana JAMAL miaka ya...
Jina la bwana Jamal Tamim aliyeshinda kura za maoni za ubunge kupitia CCM jimbo la MUHAMBWE limekatwa,hivyo kuliacha jimbo hilo likiwa katika hati hati ya kuchukuliwa na wapinzani.
Bwana Jamal Tamim amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na WANAMUHAMBWE wanalijua hilo, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.