Recent content by dinaman

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Lowasa ndo kashatua katiak viwanja vya Tanganyika packers, wewe endelea kutokuelewa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Nyamgulu, Dunia na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Na hiyo helkopta ipo ndani yake na ndo kaanza ivyo kwa watu wake kufanya na atatenda zaidi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    ni ka helkipta ndiyo Jaker lakini tujiulize swali zipo ngapi kwa serikali yetu, mtu akifanya jambo tujaribu kuwa kuona kwa jicho la tatu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Jesusu life changer nadhani ile ilikuwa ni kusherekea na shukurani kwa Mungu wao kuwapa hiyo chopa na leo ndo uzinduzi it seems, yetu macho maana wanaonekana wana mengi ya kutenda
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    wao siyo kama sisi ndiyo maana swaga zao tofauti
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Ukiukubali umaskni utaendelea kuwamaskini tu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Baraka zote kwa wateule aisee lazima dunia itambue kwamba hakuna aliye juu zaidi ya yeye Bwana wa Majeshi Yesu Kristo wa Nazareth
  8. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    heri kwako Mungu azidi kumtumia
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chopa na gwajima

    N wish ningefika eneo la tukio maana nasikia kitu kimeshatua viwanjani, hakika siku hizi hapana uzemb kwenye kazi ya Mungu, songa mbeleeeeee
  10. D

    JamiiForums Tanzania Picha Mh. Halima Mdee Flora Mbasha Josephat Gwajima on one stage.

    Sababu huu ndio muda wake..
  11. D

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

    Mmefungulia bomba sasa mnalowana nyie mlianza kuumbwa midomo gwajima aliyeanza kuumbwa kichwa anasonga mbele wewe wabaki kulalama utabakia hapo hapo na laana iliyokushikiria
Back
Top Bottom