Recent content by dimple

  1. dimple

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

    Kwa Hali ya uchumi ilivyo pole sana kuacha forex. Binafsi nipo ktk hii industry Nina kama mwaka Ila naona mwanga.nilijifunza mwenyewe online sikuelewa sanaaa bahati nzuri kuna rafiki alilipia darasa la online nikawa nasoma nae😀 sehemu za live na akawa ananipa clip za mafunzo hapo ndo nikaanza ku...
  2. dimple

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya Kisasa

    400
  3. dimple

    JamiiForums Tanzania Nina mayai ya kisasa tray 600

    Habari nauza mayai ya kisasa natoa kwa tray tsh.6000 size ya kati na 6500 makubwa.nipo dar es salam mbezi mwisho magoe. Namba ni 0739332033
  4. dimple

    JamiiForums Tanzania Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

    Hii na mimi imenikuta mwaka huu.kona zote za sebulen zimeingiza maji mimi naona ni water table imekua juu sabab mvua imekua nyingi mwaka huu.ila mimi sabab nimeihisi ni sebulen nilichimba ipo chini kama 2 steps kwenda chini kuliko sehem zingine so mm hili ndo tatizo.So hii shida kwako si tiles...
  5. dimple

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Hii kwani ina unlimited package ya data?
  6. dimple

    JamiiForums Tanzania Shimo la choo kujaa maji

    Hapa sijakuelewa kabisa "Bomba linalotoa maji ndani kupeleka kwenye shimo usilichimbie chini...lifanye limwage maji kwa juu ya shimo..yani kama vile maji ya bomba la mvua bafuni yanavyomwagika,sasa bomba lako limwage maji kwa juu" Bomba gani linalotoa maji ndani?
  7. dimple

    JamiiForums Tanzania High Gross MDF Board za Kituruki

    Ndio zinang'aa kama kioo
  8. dimple

    JamiiForums Tanzania High Gross MDF Board za Kituruki

    Picha yako haifunguki unaweza nitajia jina
  9. dimple

    JamiiForums Tanzania High Gross MDF Board za Kituruki

    Nimeangalia ila hawauzi mdf wao ni mafundi mm nataka maduka yanayouza mdf material ya kituruk
  10. dimple

    JamiiForums Tanzania High Gross MDF Board za Kituruki

    Habari, Natafuta mdf board za kituruki ziwe high gross kama zile kwa sasa wanatengenezea makabati ya jikon au tv show case kwa anaejua ni nani anauza hizo board hapa Dar es Salaam atakua kanisaidia sana au kama kuna page ya insta inayouza hizo board anisaidie mfano ni kama haya makabati nime...
  11. dimple

    JamiiForums Tanzania Ac za baridi baridi Vs kununua AC kkoo..ipi Bora?

    Hata mimi nilikua najiuliza hili sipati majibu ngoja waje waaelezee why baridibaridi?
  12. dimple

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Mimi faida napata kuku wangu nilichukua mwaka jana may wakaanz kutaga sept mwishon hadi oct wakawa wameanza kujilisha na kuanza kukusanya faida. Hela kurudi itarudi tu sabab faida aiona na kuna vitu kama jengo na fensi ni la milele cage life span yake ni hadi miaka kumi so hivi vitu nachukulia...
  13. dimple

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Nimeona ni kushauri ki uhalisia mm ni mfugaji pia. Kuku hao 500 mtaji wake walau uwe na milioni 20 cash otherwise unaweza kuwauza iko hivi Unawanunua kwa 500@2400=1200000 Chakula kwa mwezi ni wastan wa milion 2 so miez 6 ni milion 12 Banda lets say 4m Mengineyo...
  14. dimple

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Ruwasa[emoji24][emoji24] hili ni jipu uchungu,naenda mwaka wa pili sijalipwa hadi tumekonda[emoji13]
  15. dimple

    JamiiForums Tanzania Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Hìi ni kweli kabisa hata mm nimeanza na layers pesa naiona sana hadi nashangaa kwann nimechelewa sana kuanza.pia biashara ya ufugaji kuku ni mradi wa nyumbani hauna purukushan za TRA wala kodi za frem pia unatumia muda mchache sana kuwahudumia.
Back
Top Bottom