Recent content by Dimitri ankalev

  1. D

    Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Hii nchi sio ya kiislamu hatuna sharia law...au futari yako ndo mwendo wa magimbi
  2. D

    Nina mtaji wa 2M naomba wazo la biashara

    Wabongo ni watu wenye roho mbaya sana, kipind cha april mpk august ndio kipindi nyanya hua nyingi sokoni na bei yake hua chini sana..kama huna lengo la kumsaidia bora uache kuliko kumpa ushauri wa kumpoteza
  3. D

    Katibu Mkuu UVCCM Taifa asema Ukosefu wa Ajira nchini unatokana na kazi nzuri ya CCM kuboresha Elimu nchini

    Kuzalisha wasomi wapumbavu wasioweza hata kuandika official letter
  4. D

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hakuna chochote hapo tafuta fundi aurekebishe
Back
Top Bottom