Recent content by Dimepeace

  1. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Adhabu kwa mwanamke anayekuacha, funzo kwa wanawake

    Dah! Kweli mkuki kwa nguruwe. Mwanaume akitaka kukuacha anakupa taarifa? Wanaume watendeeni wanawake mnavyopenda kutendewa.
  2. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuoa mdada mwenye mtoto kuliko asiye na mtoto

    Msaada jaman, nina story yangu, natamani ichezwe km movie, nifanyeje?
  3. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuoa mdada mwenye mtoto kuliko asiye na mtoto

    Hakika.
  4. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuoa mdada mwenye mtoto kuliko asiye na mtoto

    Mwenzio anaweza kuwa hata wewe, namaanisha, hata ww waweza kuzaa na mzazi mwenzio akaolewa na mwanao kulelewa na mwanaume mwenzio, htakubali pia?
  5. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Hasara zipi uliwahi pata kutoka kwa mpenzi? Wa kwangu alinifukuzisha kazi benki

    Hata wanaume ni hovyo sana,sina ham nao.
  6. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Ole wenu mnaowachukulia poa wanawake

    Hahahaaa, mnatudharau sana wanawake. Ndo maana wakati mwingine mnashindwa maisha. Mungu anamakusudi kutuleta duniani.
  7. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania Wapenda waume za watu wote tukutane hapa

    Mume wamtu sumu jaman.
  8. Dimepeace

    JamiiForums Tanzania What's your favorite Movie Line or Quote?

    Iris, Lee byung Hun.
Back
Top Bottom