Dah 2narud kwenye zamaz za Sodoma n Gomora amakwel hii ni shiidah hebu 2ridhike n mfumo 2liotengenezea n muumba 2ache tamaa z ajab.....!! Kunakuungua moto cku ya mwisho....
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
If u expect 2get good product ni lazima ugaramike brotherz no way out n con km kunatatizo hapo cha mcng ucng'ang'anie mizigo ambayo co saiz yako lazima utaon unaonew......!!! Ila mtoto wa kike anapend kupew...
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Duuuh bikra zamani saivi ujanja ujanja mwingi n utandawaz ndo unachangia wa2 kumegan kabla... Kam unatafuta bikra utasubir sn....
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Naona kiukwel hawa wanasindikiza vyama vingine na sio kutafuta kuongoza coz chama chenyewe kinadhihirisha wazi nimasikini, inamaana wakipata hiyo nafasi watatumia kwanza kujijenga kiuchumi nasio kuleta maendeleo ya igunga next time kama hamuwezi simuache muondoe usumbufu kwa watu...........!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.