Alikuwa anauza TZS 110,000.00 lakini tukapunguziana mpaka 100,000.00. Ni Mza pale Sinai. Kuna mwingine alikuwa ananitafutia aina ya TOTAL mjini kati, mwenye nayo alikuwa anauza TZS 20,000/L na mbaya zaidi akawa amefunga yuko mbali.
Mkuu, kwanza nikushukuru wewe na wadau wote kwa elimu hii. Nimekuwa kwenye mgogoro wa engine ya ESCUDO G16 ni oil gani inafaa. Hii ni baada ya kununua engine nyingine (used) baada ya ile ya kwanza kushindikana. Fundi anashauri nitumie SAE 40 lakini nikambishia baada ya kupitia uzi huu. Ndiyo...
Jaribu kutafuta duka linalouza nyaraka za Serikali mkuu. Kama upo Mwanza kuna kituo bubu cha daladala barabara ya Uhuru kinaitwa CCM (kabla ya darajani) unaweza kuulizia hapo. Nakala niliyonayo niliipata DSM siku nyingi hata siwezi kukumbuka duka. Kuulizia kwa mwanasheria yeyote si mbaya...
Mkuu, umeniwahi tu kwa jibu hilo.
Ndugu yetu huyu aangalie asijekuwa wa kwanza kufa kwa njaa kwa kuwa 'too selective' na maswali mengi yaendanayo na chakula. Hongera.
Utofauti wa jambo hili ni pale wengine wanapofanya kwa maendeleo endelevu, wakati wengine ni 'today - today, now - now, here -here'. Huwezi kufaidi vyote vilivyo vyako, maana hata wewe inawezekana unafaidi kai ya mikono ya watu wengine ka namna moja ama nyingine.
Mtaalam Mathabane amenigusa. Jina la Chuo si hoja ila unavyotoa huduma inayokubalika katika jamii na kuendesha maisha yako na familia. Suala la GPA hata '------' ni ya kupekua lakini amekuwa sehemu ya walioning'iniza maisha ya watanzania walio wengi. Mkuu Mathabane chukua 'like' nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.