Recent content by dila sahani

  1. D

    JamiiForums Tanzania huyu Afande mzima? au...?

    Akija mtu nyuma akapita nayo mashine itakula kwake hapo atagundua kama zinamtosha.
  2. D

    JamiiForums Tanzania yupi kati ya hawa ana nguvu za kiume?

    Jaman watanzania tujaribu kujadili hoja zenye kuleta maendeleo na kuelimisha uma .
  3. D

    JamiiForums Tanzania Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Duuu huyu mtoto aliyeuliza maswali hayo yote kweli bado tu anasoma shule ya msingi !!?!kwa elimu ya kibongo angekuwa ana degree moja , ila kwa sababu ametumika kufikisha ujumbe hapo tunasema message sent na mimi nasema ccm wanapumulia mashine wala 2015 wasijidanganye kabisaaa!!! kwamba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tukitaka kodi ya SIMcard ifutwe tufanye hivi

    Kwa hili watanzania mmenigusa cha kufanya hizi message wanazotupa pindi umejiunga zitumike (kuwamaliza) kupashana habar mapema . Cha kufanya unaandika ujumbe wa tar ya mgomo then unaanza kuforward sms ukimalizia na neno mtumie na mwenzio ujumbe huu, nataman siku ifike mapema, tukiungana tunaweza!
Back
Top Bottom