Recent content by DIKUPATILE

  1. D

    JamiiForums Tanzania General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

    Eti kitaanza uzalishaji haraka iwezekanavyo..hizi hadithi za kitaa.!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Kuna gazeti linaitwa Raia Tanzania limeeleza kuhusu kujiuzuru kwa KATIBU MKUU CHADEMA.! Hiyo habari ipoje ..maana sielewi elewi..msaada.jamaani
  3. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali mbaya Kiteto, ofisi za Chama hicho ikiwemo ya Wilaya yafungwa zaidi ya miezi sita sasa

    Shule ni muhimu sana...Hivi mtu anaweza kuambia kitu ambacho unaona kabisa hii si kweli bado unabishana .. Hiyo inaonyesha hata wewe uelewa wako ni sifuri.
  4. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali mbaya Kiteto, ofisi za Chama hicho ikiwemo ya Wilaya yafungwa zaidi ya miezi sita sasa

    Hata uku Mwanza ofisi zimefungwa yapata miezi6 .Hata viongozi wa Taifa hawajawi fika mwaka sasa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Vijana wanaomuunga mkono Lowassa watangaza kuhamia UKAWA

    Jamaa kaharibu alafu yeye shaaaa tumebaki tunataftana na wengine wote kimyaa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni leo Alhamisi July 9 2015, usitishaji bunge la awamu ya nne

    Bunge laahirishwa kwa 30'
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni leo Alhamisi July 9 2015, usitishaji bunge la awamu ya nne

    Wanaweka mambo sawa ..formula.. ili ipigwe milioni 238.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

    Yaani ikitendeka hv bunge lijalo halita tetea sirikali itakuwa kazi kazi hakuna cha kulala na kuamka Ndiyooooo !
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Haraka: Nimeshika Pilipili Kichaa Nikasahau Kunawa Na Nimetoka Kuchamba Hivyo Hivyo

    Hii balaa.mara mwanaume mrembo mara anaomba ushauri kaweka pilipili sehemu ya haja kubwa...hii kweli ni vichekesho
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye umbo na sura kama yangu wanazalisha watoto wazuri/hb

    Kuuumbe...Tunaumiza vichwa buure!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye umbo na sura kama yangu wanazalisha watoto wazuri/hb

    Daah shilingi lazima iporomoke thamani!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya ya kuweka misumali barazani haifai

    Mleta mada usiwe mburula...hiyo inayoonekana pichani ni sehemu ya biashara sasa mnafanya kijiwe cha kuvizia wateja matokeo yake wateja hawafiki wanawaogopa nyie wapiga story vibarazani.big up alieweka hzo nondo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ikulu yamtaka Mengi kupeleka malalamiko yake Polisi

    Huyo msemaji wa IKULU ni mwelewa kweli? Yeye alitakiwa ajibu lile gazeti si kumjibu Mengi! Mengi kanukuu gazeti .Hii nchi balaa tupu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Ukitulia utajua wao ni nani Hao jukwaa la Wakristo.la maana wanalokataa ni kuingiza ktk Katiba .
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Migombani DSM wamwapisha Mwenyekiti wao aliyeshinda kwa tiketi ya CHADEMA

    Wananchi hao nimewakubali kwa kuwa na maamuzi sahihi na muda muafaka.
Back
Top Bottom