Recent content by Digutu Wamunu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maggid Mjengwa: Kuhusu mimi kumfahamu Ludovick

    Pole sana Maggid Mjengwa, Kila mtu ana uhuru wa kusema anachotaka, na ku-comment anavyojisikia. Lakini kwa kupitia maoni ya watu wote waliotangulia, inaonyesha yafuatayo; 1. Watu ni wavivu wa kusoma, na kibaya zaidi ni wavivu wa kufikiri. 2. Mtu anatoa comment kwa kuangalia aliyetangulia ana...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Poleni sana wanafamilia ya Kibanda. Hata kama uchunguzi utafanyika, itategemea ni nani aliyewatuma wavamiaji waliomteka Kibanda. Na kutokana na mwendelezo wa matukio ya nyuma, na jinsi serikali ilivyozoea kukaa kimya, na wakati mwingine kutoa taarifa ya kupotosha watanzania kama ilivyokuwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano Dar kupinga kudhalilishwa kwa viongozi wakuu wa serikali ya Tanzania...

    Kama wewe sio mtanzania mnafiki, bali unapenda nchi yetu iwe na maendeleo ya dhati, basi utakubaliana na mimi kuwa huyu raia wa kigeni anastahili kuungwa mkono kwa kufanya maandamano. Hakuna kilichofichika, na wala huhitaji kuwa na Phd ili kujua kuwa utawala wa nchi yetu ni mbovu, na nchi yetu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Faraja Mlelwa, diwani mteule CHADEMA Mlangali/Ludewa analo la kutufundisha

    Well done Faraja Mlelwa! Wako wengi wanao-comment kiunafiki, lakini kiukweli kijana Faraja ulichokifanya ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wanaodhani kuwa na elimu ya juu ni lazima upate kazi katika ngazi za juu. Hujakosea njia, cha msingi ni kukomaa. Pia ingendeza sana kama ungekuwa member wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Mwangosi, Rais Kikwete ameonyesha udhaifu

    Ni aibu iliyoje kuona haya mambo ya ajabu yanatokea katika utawala wako, halafu hakuna kiongozi wa serikali mwenye mamlaka husika anayeweza kukemea uwongo huu wa mchana kweupe na mbele ya umma. Haiwezekani hata siku moja watu wenye taaluma za hali ya juu, ambao wanategemewa na jamii ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Francis Godwin astahili tuzo ya mwaka kuanika mauaji dhidi ya polisi Nyororo

    Ndugu watanzania wapenda Amani, Naandika haya kwa masikitiko makubwa sana baada ya kushuhudia jinsi serikali ya nchi yetu inavyowatafuna wananchi wake hadharani na kudhani kuwa watanzania wote ni mambumbu. Sitapenda kurudia yaliyokwisha kusemwa na watu wengi, taasisi za kutetea haki za...
Back
Top Bottom