Recent content by Digitalman1tz

  1. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Story..

    Naomba nikufanyiw MSE kidogo maana nimesoma storry zijaelewa kabisa naona kuna umuhimu wa MSE
  2. Digitalman1tz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

    Bongo tabu sana sasa hutaki mkeo apimwe njia ikitokea la kutokea hao unao wakataa wasi mpime njia watakuwa msaada kwa mke wako. . Kama utaki nenda VIP tu
  3. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

    Tumefikiwa sasa [emoji1316]
  4. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Diploma ipo!
  5. Digitalman1tz

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

    Ratiba ipo nenda kwa H.O.D wako atakupa
  6. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Jamaa kwaiyo umeamua kuleta huku mambo yangu na kuku amini kote kule [emoji24] Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
  7. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

    Dam! Good story nimeipenda sana ila tafuta mtu wa mental health akuweke vzr
  8. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni safari gani "very risky" umewahi fanya kwa ajili ya mpenzi wako na bado ikaishia na machozi?

    Nishawahi toka nyumbani kwetu saa kumi usiku baada ya kupigiwa na mpenzi wangu kwamba kuna wezi wameingia kwao nikasaidia....Nimbali kidogo afu kuna eneo lazima ukatishe ni la wahuni nikapita kufika nikakamatwa tena kidogo nipigwe risasi kwamba mm ni mwizi na demu kasema hanijui sitasahau Halima
  9. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani ya ajabu uliyowahi kuyafanya sababu ya mapenzi?

    Mapenzi ni kitu cha ajabu sana Nakumbuka nishawahi panga na demu kwamba mm naacha chuo ww endelea kusoma ukimaliza ntakuachia michongo nayo fanya na mm nije nimalize ...Aisee unazani ata semister iliisha wiki moja sipo chuo demu kapata bwana mpya wala Hani hitaji tena na shule nishaacha...
  10. Digitalman1tz

    JamiiForums Tanzania Historia ya kweli: Tuliowahi 'kula' walimu wetu tujuane hapa

    Sema safi mwanangu unakula maisha saiz fresh ila code umeuza ila ngoja nikaushe
  11. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    Bro Mwanamke akikucheat hatakiwa kudamehewa na ukimsamehe atakuzalau zaidi Pili chuo hawez pata mwanamke wa kumuoa wachache sana pole nakuomba tu umove on japo utaumia ila ndo unajenga misingi hapo
  12. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

    Mkuu pole kwa kilicho kupata.Vp lakini bafo unaendelea mahusiano na femu wako wa malta Vipi tena una mpango wa kumu alika aje bongo na yeye au utaenda tena malta
  13. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kum "cheat" mke wangu, niko tofauti na wanaume wengine

    Usijari mkuu tupo wengi
  14. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    ZaBeth
  15. Digitalman1tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyo dada aliupiga mwingi sana [emoji39][emoji39]
Back
Top Bottom