Mbn inafunguka fresh tu, nimefungua, bahati mbaya saa naangalia wife kanikuta,
Na hajaniuliza, kapita kimya kimya , cjui baaday kitatokea nn baina yetu
Hapana, Roho laini sana Mkuu, sinaga uwezo wa kuvumilia kiasi hicho!!
Juzi kati kuna uzi niliusoma hapa hapa, eti lijamaa limeondoka na demu wake weekend nzima!! Kisa!! Her first love!! Mbn ht hizo nguo zake alizoacha ndan kwangu angezikuta Dampo
Aisee mkuu!! Sidhan kama ningeweza kusubiri mpk arudi, kwa upande wangu nadhan mamake ndo angetangulia na talaka ya mwanaye! Sijui!! Labda mm nina moyo mwepesi, ntawezaje kukaa na huyo mamkwe wakati mwanaye kaniaga anaenda kumwona??
Mhhh,
Itakuwa men wengine wana mioyo ya chuma kweli!!! Yaan aniage Ijumaa anaenda kumwona mamake, then at the same day mamkwe afike kwangu, aiseee mbn pangechimbika bila sururu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.