Recent content by diet

  1. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    We ndio unatia huruma ktk mapenzi..itakuwa u na mtindio wa ubongo ktk mpnz. Tatizo ulipelekwa mwochwari ulipougua kichaa cha nguruwe mwitu...kabla hujafa vizuri...barid la kule likakuzindua ukarudi duniani....so pole sanaaaa....c amri yako
  2. D

    Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

    Pole sana. Km ingekuwa mimi ningewaita familia yng yote niwaeleze.... nafikir unaumia sana sababu bado hiyo kitu iko moyoni umeweka siri.... ukikaa na siri utaumia kila siku.... funguka waeleze familia yako na huyo mm yk mkubwa mweleze....
  3. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    Km mtu unaona kbs habadiliki kila unavyompa somo basi ndio unaweza kuangalia ustaarabu mwengine...
  4. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    Alafu jaribuni kuwa waelewa.... kwani humu wangapi wako na wapenzi wao wa ukweli lakini bado wako na vicheche vya wizi wizi... asilimia kubwa ni wasaliti...sasa mpnz wako akiamua kukuacha atafute mwengine na mwengine tabia ni hizo hizo.... bora ubakie na huyo huyo msaliti ujaribu kuongea nae...
  5. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    Kweli malezu... Hata wana ndoa...baba na mama zenu wengine humu wanasalitiana...mwishowe saa 12 ikifika wanarudi nyumbani kwa waliowasaliti....sembuse chalii bachela.... adipotomb k nying nyng time hii atatomb lini.?? Ila ndio keshazionja sana naona ndio kaamua kubadilika...hope ilikuwa ujana
  6. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    Tweenty4seven...hujapata kiboko yk
  7. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    Sasa mnafikir mtaachana na wangapi na hivi vijana wa cku hizi hawatulia kbs. Ni bora kumbadilisha huyo huyo uliyenaye kuliko kuhangaika...kumtafuta aliyetulia sababu aliyetulia nae mnaweza kufika ndan ya ndoa majanga ya usalit yakaanZa...kinachomatter mi nafikir km unampenda na unajua ana tabia...
  8. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    Tuko safi na kabadilika kbs kbs... mpka mwenyewe nashangaa nikilinganisha na mwanzo... yaani kawa mwingine na ibada kila jpili tunaenda wote...na ukumbuke alikuwa hakanyagi kbs church
  9. D

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    A.salaam wanajf.. Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana. ila katika...
  10. D

    Mafuta mazuri ya kupikia kwa mtu anayefanya diet.

    A.slm...wana JF... naomba kujuzwa mafuta mazuri ya kupikia kwa mtu anayefanya diet... kuna mmoja ameniambia olive oil ni mazuri... naomba na wewe unijuze zaidi tafadhali
  11. D

    Natafuta mlinzi wa campuni....naomba kujuzwa kwa mwezi bei gani wanalipwa..

    Jaman wana jf... natafuta mlinzi wa nyumba.... kutoka campuni yyte hapa dar.... naomba km kuna anaewajua....anipe mwongozo....
  12. D

    EDN MHINA,ametuabisha kwenye uwakilishi wake wa Tz huko S.Afrika. Soma hapa!

    Kweli mwenyewe nilijiskia vibaya.... hata mtangazaji alimwonea huruma akawa anauliza maswali laini lakini wapi....cjui ni mataa yale yalimzidia maskini.... ila tudimlaum sana.... tulaumu waliomchagua cose walijua udhaifu wake lakin bado walimchagua nafikir pia wanajuana....undugu huo....
Back
Top Bottom