Recent content by Didia

  1. Didia

    TISS, Jichunguze ili Muepuke Kuchunguzwa

    Nina siku nyingi sijalogin JF lakini baada ya kusoma bandiko la Baija nimeguswa na nikaona kuna umuhimu wa kuchangia. Wakuu, niukweli usio pingika tangu 2010 pamekuwepo juhudi za makusudi ku-recruit vijana wa UVCCM kwenye KITENGO. Mkuu wa mkoa wa dar ni miongoni mwa vijana hao. Kwa Bahati...
  2. Didia

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Wewe Mzee vp? Historia ya kufoji vyeti ndo unataka iwasisimue vijana?! Aibu gani hii! Makonda anabahati hadi leo wazazi wake wapo hai. Wenzio tulipoteza wazazi hata kabla ya kuanza darasa la kwanza, tulianza kuhudumia familia tulizoachiwa na wazazi kwa Maana ya wadogo zetu tukiwa pado primary...
  3. Didia

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    So stupid, hili ndo tatizo lenu wafoji vyeti
  4. Didia

    Mrisho Mpoto haujui inamchukua mtu jitihada gani kufaulu mtihatini wa kidato cha nne!

    Kama mtu hajasoma huna haki ya kuzungumzia vyeti katika mrengo wa kubeza Maana ama umuhimu wa vyeti hivyo. Ninawasiwasi kama hata form four Amefika huyu bwana Mrisho MPOTO
  5. Didia

    Huruma: TANESCO inaidai Zanzibar Bil. 121 wakati Mapato yao ni Bil 425. Tutawaua kwa presha

    Kama ni kweli ZECO Wana hoja ya Msingi. Lakini kwanini hawakupinga hili EWURA wakati wa kupitisha tarrifs?
  6. Didia

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Kuanzia leo, nimekudharau ndg. Paskal Mayalla. Yaani kwa usomi wako na ufuatiliaji wako wa mambo bado unaamini Rais anapaswa kuaminika kwa kila kitu? Kweli?! Uanaamini kila anayeteuliwa kwenye nafasi yoyote anahakikiwa vyeti? Umesahau uteuzi wa makatibu tawala ambao baada ya kuteuliwa na...
  7. Didia

    Kutumia umeme units 75 kwa mwezi(tariff 4) ni kujidanganya ama kudanganya

    Ahsante sana mkuu wangu Ubarikiwe sana kwa hili Somo
  8. Didia

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Nikweli mkuu Kuna kitu anaficha huyu pia. Inawezekana alitaka kupitisha mzigo bila kulipia. Yule jamaa ukimuibia elfu moja tu unalipa mamilioni. Huwa hachezewi. Lakini hii haindoi ukweli kuwa Zackaria ni anayetumia utajiri, mtandao na Nguvu zake vibaya.
  9. Didia

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Tembea mikoani ndo Utajua Kuna watu ni Serikali. Zacharia ni tofauti sana labda JPM mdhibiti. Yule jamaa ana vijana ukimkosea unapelekwa lockup polisi stend wanakuweka ndani. Ikifika jioni inabidi wampigie ili wajue uandikiwe kosa gani. Akikuhurumia Atasema pumbavu zake muachie aende zake...
  10. Didia

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Unamjua Zakaria au unamsikia? Mkuu wa wilaya?! Hata RC na RPC hawafui dafu.
  11. Didia

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Pole sana, kama umemfuata Mzee Gachuma na zakaria akakomaa huna pa kwenda. Zakaria ni Dora tarime.
  12. Didia

    Kutumia umeme units 75 kwa mwezi(tariff 4) ni kujidanganya ama kudanganya

    Mkuu Naomba unifanyie makadirio ya matumizi yafuatayo ili nijue matumizi yangu yatakuwa kiasi gani makao mapya. 1. Taa 3 energy server wat18 zitawaka masaa 4 2. Taa 4 energy server wat18 zitawaka wastani wa dk 30 kila moja 3. Taa 2 energy server Wat18 zitawaka masaa 12 kwa siku. 4. Fridge...
  13. Didia

    Kutumia umeme units 75 kwa mwezi(tariff 4) ni kujidanganya ama kudanganya

    Kama husemi uongo una leakage moja ya hatari. Mimi Nina vifaa kama hivyo natumia chini ya 75. Nakushauri ufanye utafiti wa waya zako.
Back
Top Bottom