Recent content by didda el magnifical

  1. didda el magnifical

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole ni kocha mzuri wa Watford na timu za level hiyo, united wanahitaji kocha mwenye muendelezo wa matokeo mazuri kitu ambacho ole hana
  2. didda el magnifical

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    So far asipocheza smalling pale uani ni mashaka Kwa aina ya mabeki tuliokua kua nao ni bora smalling
  3. didda el magnifical

    Pogba wa jana sio huyu wa leo..

    Si kweli Pogba ni yule yule kitu kilicho badilika ni aina ya watu anaocheza nao felaini this guy is too slow hiyo inamlazimu Pogba ashuke achukue mipira kuanzia chini tofauti na alivyokua juve alikua na viungo wengi na wenye speed........ ILI POGBA ACHEZE LAZIMA TIMU IWE NA VIUNGO WAKABAJI WAKUTOSHA
  4. didda el magnifical

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwani wanaomsema vibaya Pogba naomba niwaulize hivi ni kweli anacheza chini ya kiwango? Mbona hata tatizo hamlijui Lakin mnaropoka tu
Back
Top Bottom