Recent content by Diclan.comMbrazili

  1. Diclan.comMbrazili

    Lowassa kupigwa chini tena

    CCM Mtabaki mnasema lowasa ikifika cku ya uchaguz wakati wa kupiga kura utajikuta umeshampigia kura kwa kuwa mmezoea jina lake
  2. Diclan.comMbrazili

    Wagombea Udiwani wa CHADEMA Vunjo, wamkataa Mbatia

    Mimi nipo vunjo Mbatia anakubalika mpaka kwa wabibi
  3. Diclan.comMbrazili

    Askofu Gwajima kumjibu Dr. Slaa siku ya Jumanne - Septemba 8, 2015

    Mimi nikiwa Kama muumini wake alisema conference itaanza saa7 mpaka 8 pia aliahidi maneno atakayosema nchi itatetemeka na Dr hatakaaa aongee kitu tena
  4. Diclan.comMbrazili

    CCM Wapokea Kadi za Wapinzani / UKAWA kwa Malundo

    Jipen moyo ila lazima ccm mtoke
  5. Diclan.comMbrazili

    CHADEMA Kwisha Habari yao Ruaha Iringa

    Hata Kama Nikiambiwa lowasa ni jini nampa kura yangu,Peoplezzzzzzz
  6. Diclan.comMbrazili

    TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Huku pande za Tabata mpaka VINGUNGUTI wamekata
  7. Diclan.comMbrazili

    Dawa ya Lowassa yapatikana

    Na yeye atawaletea Balali wa BOT
Back
Top Bottom