Recent content by DicksonJr

  1. D

    Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

    Mkuu samahani mimi nina Subaru Impreza haimalizi les inaishia kwenye 3 inarudi chini lkn kwenye machine mafundi waliangalia hakuna tatzo na kwa unaweza tembea safari ya kawaida ikakuwashia taa ya check injini lkn pia juzi limeanza kuchemsha na kukausha maji ingawa limeenda jana safari ya km400...
  2. D

    Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

    Mkuu Mshana Jr Mimi last week niliota nipo nyumbani kwenye nyumba ya familia nikiwa tumeketi na mama pamoja na ndugu zake wawil lakini mama akasema kuna mboga aliipika akawa ameweka dawa ambayo tumeimeza hivyo tulivyokula wote tukaonekana wachawi na alipewa atuwekee mimi sikupenda hivyo nilianza...
  3. D

    Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

    Mkuu nmeota nipo Na sahani ya wali na nyama ya kitimoto nikampa rafiki yangu ashike kwa sababu nilitaka kula nae na tulikuwa maeneo ya kwao lkn baadae nikakumbuka yeye ni muislam hivyo nikamwambia ni kitimoto akasema basi mimi nile tu basi nikala hii ina maana gani mkuu
  4. D

    Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Unainakana mbeya na mnafki sana majirani zako hawana amani na wewe
Back
Top Bottom