Recent content by Dickson Mseti

  1. D

    JamiiForums Tanzania viongozi acheni kutumia lugha zinazowatesa

    Imekuwa kawaida mno. Na angalau basi wangekuwa wanaongea taratibu maana ukweli utabaki palepale," sio lazima mwanadamu kujua lugha zote" na haimaanishi ni ulimbukeni kuongea lugha ambayo ambayo unaifahamu
  2. D

    JamiiForums Tanzania viongozi acheni kutumia lugha zinazowatesa

    ID hii inatumiwa na mtu mmoja. Tena mwalimu haswaa wa Lugha maridhawa ya Kiswahili. Sio msomi wa vyuo vikuu lakini sio kilaza wa mtaani pia. Nilichoandika kwa hapo ni dhihaka ndongo kwa aliyeniona kilaza kwa kuandika "Mzarendo" badala ya Mzalendo. Wala sijafunguliwa email na mtu. Dhana yangu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania viongozi acheni kutumia lugha zinazowatesa

    Hahahaha, Nipo Nyamwaga
  4. D

    JamiiForums Tanzania viongozi acheni kutumia lugha zinazowatesa

    Asante kwa kunirekebisha. Kama nimeathiriwa na rugha yangu nina hakika haunifwahamu. Fiongosi wetu ni image ya taifa hivyo ni fyema wakatumia lugha ambayo wanawesa kujielesa saiti .. kwa hiyo ndugu. Nakubali pungufu langu japo umeelewa kuna kiongozi wa Zanzibar kaongea vitu Aljazeeeeeera...
  5. D

    JamiiForums Tanzania viongozi acheni kutumia lugha zinazowatesa

    Mara kadhaa viongozi wetu wametumia lugha ya kiingereza isivyo. Matokeo yake wanajidhalilisha na kutuvunjia heshima kama taifa.Hivyo bila kujali ni vyema wakatumia lugha yetu ya Taifa ambayo wataonekana wazarendo zaidi na kueleweka zaidi.Rais wa urusi japo anakijua sana kiingereza,daima...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    hapana ndugu yangu, nimekuona wewe, maana nafsi yangu imekuamini. Katika simulizi fulani ya mafundisho ya mtume, niliwahi kusimuliwa na mzee mmoja rafiki yangu alisema kwamba mtume aliwahi kusema" mwenye kuishinda hasira yake basi ndiye mwenye nguvu duniani" ndugu yangu hata kama ningeandika...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    sidhani hiki mnachobishiana na kukejeliana hapa ni msingi wa hoja yakinifu, nadhani, watoto wetu wamefeli, asilimia sitini ni ziro, na kati ya waliofeli wapo akina mariam na marry, issa na daudi, hebu wote acheni ushabiki wa kitoto tujadili namna ya kusaidia jamii yetu...
Back
Top Bottom