Recent content by Dickson John Mshindo

  1. D

    Ni J. Heche leo 29/07/2012 alinguruma IRA!

    Pamoja kuwa wapinzani wanaibua uozo wa chama tawala, pia wanapaswa kuonyesha NJIA M BADALA yakulikomboa taifa ktk changamoto linazopitia, kwakuishauri serikali iliyopo madarakani, maadui wa taifa hili ni UJINGA, MARADHI, na UMASIKINI. Sote tuwe namikakati yakupambana na maadui hawa lkn...
  2. D

    Ni J. Heche leo 29/07/2012 alinguruma IRA!

    watanzania tufumbue macho na tutafakari kwa makini na busara kwaajili yakizazi kijacho
  3. D

    Nishati na madini.

    Upepo unaovuma ktk vikao vya bunge kuhusu viongozi wa wizara ya Nishati, Je taasisi husika zinachukua hatua stahili kwa wakati? Nini kifanyike?
  4. D

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Madai aliyotoa Mama yanauzito wake, lkn wasifanye hujuma ilikuifunga JF, Lkn piawabunge wamekuwa wepesi kujadili na kutolea maoni kwa nguvu nyingi masuala yasiyomkwamua MVUJA JASHO ktk lindi la umasikini, mf Mabadiliko ya katiba, mwisho wasiku walicho kifanya hubakikuwa SIFURI.
  5. D

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Mtu mzima dawa Mh.ZZK anapaswa kumpa heshima Dk. Slaa kwakuwa kamzidi, pamoja na hayo Kiongozi bora ni muhimu lkn wananchi twapaswa kuwa bora zaidi ktk kumchagua huyo kiongozi, pia kuhakikisha tunamsimamia iliatimize wajibu wake inavyostahili
Back
Top Bottom